Rais Samia Suluhu Hassan, akitunuku Nishani ya miaka 60 ya Uhuru kwa Mkuu wa Jeshi la Uhamiaji nchini Kamishna Jenerali Dkt. Anna Peter Makakala kati ya watunukiwa 893 ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Uhuru
#KitengeUpdates
Kwa niaba ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali, nakupongeza Mhe. @HHichilema kwa ushindi ulioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Zambia. Ushindi huo ni uthibitisho wa imani ya wananchi wa Zambia kwako. Naahidi kukuza uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi zetu.
Nimefurahishwa na ushindi wa Taifa Stars wa 1-0 dhidi ya Benin. Nawapongeza wachezaji, benchi la ufundi na TFF, kwa jitihada za kushinda pambano la leo. Nawatakia kheri katika michezo iliyobaki ili Tanzania iweze kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Qatar mwakani.
#KaziIendelee
Asante @ZantelTanzania Kwa Kunichagua kuwa Balozi wenu
Wazanzibari wenzangu Na watu Wote Kwa Ujumla huu ni muda we wa kukua na KUPASUA ANGA NA @ZantelTanzania
KAULI MBIU YETU NI #PASUAANGA#zantel4g
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya #CCM Ndugu @MagufuliJP atakuwa na Mkutano wa Kampeni Msata Michungwani Bagamoyo Mkoani Pwani tarehe 19 Oktoba 2020
Wote mnakaribishwa.
#KuraKwaMagufuli2020 โ
#T2020JPM
Asante Dr John Pombe Magufuli... Asante @hpolepole
Asante Serikali yetu ya Awamu ya Tano Kwa kuendelea Kusimamia Haki
Hakika hii ndio Tanzania tuliyokuwa Tunaitamani wakati wote
Pole sana @S2KizzyOfficial ila swala lako liko Mikono salama sasa