A solution to illiteracy problem in Tanzania. Establishing, supervising and facilitating Literature Cycles, life skills and financial lit in public schools.
Nimepokea kwa mshangao taarifa hii kwamba, katika Dunia ya bado kuna wenye mitazamo hasi kuhusu usawa wa elimu kwa watoto.
Nimewasiliana na Uongozi wa Mkoa wa Rukwa kwa ufuatiliaji na hatua zaidi za elimu na ukombozi wa fikra kwa Mzee huyu na familia yake na kuhakikisha watoto wote wa familia hii wanapelekwa shule kwa usawa na pasipo ubaguzi wa rangi au ubaguzi wowote ule.
Natoa wito kwa jamii yote na wanahabari, tuendelee kushirikiana kuibua changamoto mbalimbali za kijamii ikiwemo kuhusu fikra na mitazamo hasi sambamba na kuelimisha jamii.
Pongezi kwa mwanahabari huyu aliyeibua changamoto hii. Tuendelee kushirikiana daima kuikomboa jamii yetu..... 🇹🇿
@maendeleoyajamii @ortamisemi
Tafiti zinaonesha 67% ya watoto wenye umri wa miaka 12 hadi 17 wanatumia mitandao ya kijamii, huku 4% wakikutana na wahalifu mtandaoni na 5% wakilazimishwa kutuma picha za utupu.
UJUMBE WANGU LEO;
Mzazi/ Mlezi: tafadhali sana, Vunja ukimya, sema na mwanao aelewe na kujilinda.📌✍🏻
CHINUA ACHEBE: WE MUST WRITE OUR OWN STORIES
On 21 March 2013, renowned Nigerian poet and novelist Chinua Achebe transitioned into an ancestor. His work continues to shape African literature today.
In 1988, Achebe (1930-2013) reflected on the literature he studied at university. Upon reading these works closely, he realised that the so-called ‘savages’ often resembled characters that looked like him, African, while the stories portrayed white people as heroes. He explained that without a conscious understanding of this narrative, what may seem like ‘innocent’ fictional tales can misinform Africans who have endured the oppression of slavery and colonialism.
Achebe's solution? Africa must take control of its history by writing about it.
Video credit: ‘A World of Ideas,’ @PBS
@Udadisi@EduTalkTz nina swali lingine pia @fatma_karume
Iwapo Wakenya wote wanasoma kwa kiingereza iweje walio wengi hawaongei Kiingereza? Kila mara tunachanganya suala la lugha ya 'elite' na ya wananchi walio wengi
Swali kwa Serikali:
Mbona waKenya wanaongea na kuandika English vizuri na pia ni LEADERS kwenye KISWAHILI?
Something is terribly wrong with our education system.
I talk a lot about how Finland has no standardized tests in elementary school, but did you know, In Japan, early education focuses on character, social skills, and teamwork—no standardized tests until 4th grade. Students learn respect, responsibility, and collaboration before academics take center stage. A foundation for life, not just grades.
Let’s try a thought experiment that can be executed in practice. Pick randomly 5 cities @1 Sec school each and survey the PARENTS and the STUDENTS separately -QN -if they would like their Sec. school to be converted from English Medium to Kiswahili Medium. @Udadisi@tonytogolani
Twin argument from those who have advocated for #Kiswahili as a Mediuam/Language of Instruction(#LOI),such as Martha Qorro,@MabalaMakengeza,@rakeshrajani@jeneralionline+@lwaitama1:
1. Teach English properly as a language/subject.
2. No language proficiency,no content/substance.
Waama ni vitabu 5, Willy the Silly Warthog, Willy goes to school, Willy and the cheetah, Willy plays football and Willy wins the day. Huge thanks ks to Paul Ndunguru for his amazing pictures and the whole APE Network team.
Our children need to read stories, then more stories
I love how Nigerian filmmakers showed up in 2024 to celebrate an icon, to tell his stories, and to tell the stories behind his stories.
I also love that WS’s books and these films will be around for the consumption of our children’s children.
#WoleSoyinka90
Wakuu naona ving'ora vya Toto Afya vinapigwa tu kila upande bila kuongelea maslahi ya mnaowakabidhi roho za ha hao watoto wenu (WAHUDUMU WA AFYA).
Nyie endeleeni kujipambania alafu mje mkabidhi roho zenu kwa watu wenye stress za malipo mbona mtafurahi.
Je, wewe ni
✅ mtanzania
✅ una miaka 18 – 25
✅ mwanafunzi wa chuo kikuu, ama taasisi ya elimu
✅ una kitambulisho halali cha mwanafunzi
Shiriki kwenye 🇪🇺 Shindano la Mdahalo wa Vijana
Tuma maombi yako kabla ya Novemba 30, 2024 hapa👉🏽: https://t.co/OcXxluX4p4
#EUDebateContest