@kibaha_finest Roho wa mauti hana aibu yoyote maana ata kitakwimu wengi wa watu wamenakufa hadharani kwenye mavita na maafa huo muda wa kusubiri watu watoke hakuna akifika ndo kashafika tu
@ILONDO01 Uwez ukawa unajua misingi ukamtaja toxic mbele ya vina nawaza ulitumia kigezo gan sielewi
Toxic ni free styler mzur raper anaejua kurap peni yake Haina wino wakutosha kukaa meza moja na vina ,Nikki,wakaz,mex,uno,p, stereo,nash,gheto,songa,nk atakaa na mbuzi,kontawa,rapcha,nk