Almighty Allaha, Thank you for waking us up this morning. Thank you for your kindness. We don't know who or what will cross our paths today, but we do know that You are our Rock and Fortress. Help us to anchor ourselves to You today. Watch over us&protect us from all dangers.
Pale viongozi wa dini wanapokalia vizuri viti vyao, wakaacha kujitoa fahamu, wakawashauri na kuwaelekeza waumini wao,wakiwemo viongozi wa serikali na hata Rais wa Jamhuri. Hivyo ndivyo vinavyoelekeza vitabu vya dini zote. Naeleweka lakini?
Ushauri 10 wa kuzingatia kama ningerudi miaka 10 nyuma 🧠
1. Shuleni unatakiwa uwe bora zaidi kwenye mambo ambayo hayapewi kipaumbele kufundishwa darasani.
2. Chuo ndo sehemu pekee ya kujenga network na kutafuta watu wa kukuingiza kwenye system an ecosystems.
3. Copywriting ndio ujuzi wa thamani zaidi, ambao hakuna mwanadamu yeyote anayefanya kazi yoyote ile hatauhitaji.
4. Utajiri na maisha yapo kwenye internet. Kwenye kila hatua ya makuzi. Fursa za mtandaoni ndio za kuzingatia zaidi. Hakuna ambae ana unfair advantage.
5. Kile ambacho jamii inakwambia ni sahihi. Kikiwa sahihi kweli basi hakina maana sana. Kile unachoaminishwa sio sahihi mara nyingi ndio sahihi na vina maana zaidi.
6. Kwenye maisha ni aidha uchague kuishi maisha, malengo na kusudi lako au ujitoe ufahamu jamii ikupangie nini cha kufanya.
7. Porn, Netflix, soda, energy, madawa, GMO n.k wanapiga pesa mbaya sana na jamii inanunua tena kila siku. Usiogope kuuza kitu unachokileta mbele za watu kusaidia kuimprove maisha.
8. Masomo ya kuzingatia zaidi maishani ni saikolojia ya mwanadamu, falsafa, mindset na sayansi ya kuzalisha pesa.
9. Mindset sahihi kwenye maisha ni priority. Detoxify Mind yako uwe sober na kuishi maisha yako.
10. Tunza energy yako, muda wako na pesa zako. Acha jamii iseme, wewe kaa kimya, jenga na unda bidhaa zako, ongeza thamani na tengeneza empire na legacy.
#TutoboewoteFest
...UKIKOSA UMEPENDA...