HATIMAE MWEZI WA LIGI KURUDI UMEFIKA WANANGU.
Mwaga moto mwingi kama uliusubiri mwezi huu kwa hamu kama mimi.๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
#epl#football#soccer#laliga#tutakuwepo๐ซต๐พ๐
ROMA & DIAMOND, kati yao nani ni "MTETEZI" wa TAIFA lake kupitia KAZI zao.??? Kama ni ROMA, basi Retweet hapa chini. Ukiona ni DIAMOND basi like hapa chini. Tuanze KAZI.