I recently came across this Daily News article from Tanzania, published in July, and it raised a topic that I think is really worth discussing:
[๐งตThread]
(To learn more about the FIFA Talent Development Scheme (TDS) in Tanzania is, take a look at my reposted post below):
@Kiganyi_ Mimi naona kama tumejitia gharama bure.
Ilipaswa Shule ya Msingi wanaingia saa 2 hadi saa 6 na Sekondary waingie saa 7 hadi saa 11.
Majengo watumie hayo hayo na madarasa yatumike hayo hayo.
Tutakwepa gharama nyingi sana.
@kenafricx21 Kanunue viatu vya kiume saba bei ya jumla 12k uza mwisho 17, viatu vya kike 17 kwa 5500 uza mwisho 8K anza kutembeza mtaani , nakupa week utajikuta una kama 50K as a profit , emu jaribu uone kaka
๐จLetโs talk about Adolf Mtasingwa
Hii ni mechi yake ya kwanza akiwa na Kaizer Chiefs |kila mguso, kila tukio, kila maamuzi na kila moment aliyoipata ndani ya kiwanja
Football IQ yake๐ฅ๐๐พ; Game intelligent yake ๐๐พ