@Sativa255 Kaka hata vyuoni huwezi fananisha wale waliokuwa wanategemea kuingia library na reading rooms na sisi tuliokuta Google, then,ukitoka Google huwezi fananisha na hawa wa AI mda unavoenda mambo yanakuwa rahisi
@mananajr_ Mentality za watu ambao hawakusoma,mm naambiwaga sanaa hasa nikijiongelesha kuwa nimechoka na hizi kazi!,utaskia mliambiwa msome mkawa mnacheza. Unaishia tu kucheka
@ontheplanet84@ReganTesla_ Kuna hako katanga nikionesha tu dalili kama sitaki kananuna serious,siku kalikuja naumwa alafu nikameza panado nikajiona niko fiti,oyaa badae kamesha ondoka nilipigwa na ile homa sijawahi ona ๐๐ฟ
@Zephania_Ndaki Hakuna cha kujifunza,vifo vya kawaida kwa wasanii pia ni vingi kuliko vya hivyo,then huku mtaani aina hyo ya vifo ni vingi zaidi kuliko kwa wasanii ila ningumu kujulikana coz hawakuwa na fame