#KURASA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa usambazaji maji safi katika Kitongoji cha Kitope, Mtaa wa Mwaja, Kata ya Mandewa, Manispaa ya Singida, mradi ambao hadi sasa umefikia asilimia 60 ya utekelezaji.
Wakiongea juu ya mradi huo Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mwaja wameeleza furaha yao kutokana na maendeleo ya mradi huo huku Mwenyekiti wa mtaa akibainisha kuwa huduma hiyo itapunguza adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta maji safi. #EastAfricaTV
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji safi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha usambazaji wa maji katika eneo hilo kupitia mradi wa Uboreshaji wa huduma.
-VFF
Baadhi ya wakazi wa mtaa huo wamesema kuwa kukamilika kwa mradi huo kumewapa faraja kwa kuwa sasa hawatalazimika kutembea umbali mrefu kutafuta maji safi, hali ambayo iliwapotezea muda mwingi.
👣Sunnah Ya Kutembea Peku👣
Anasema Swahaba Abuu Muhammad Fadhwaalah bin 'Ubayd رضي الله عنه
"Alikuwa Mtume صلى الله عليه وسلم Akituamrisha Tutembee Pekuu Baadhi Ya Mda(Masiku)"
Abuu Daud 4160
DAR - MWANZA • BARIADI | 10March23
DODOMA chief asili hotel📍
1: ALLY'S STAR 357 DXS 12:48 out
2: ALLY'S STAR 947EBF 12:49 out
3: ALLY'S STAR 964 DVA 12:50 out
4: KATARAMA 835 EBR 12:55 out
NB: Katarama limejaa warembo wakutosha leo kweli chuma la moto hakuna mbambambaaa 🔥🙌
#SWALI: FUNGUO YA KATARAMA iko wapi....?
#JIBU: Tunajibu kwa vitendo tuuu sio mbambambaaa.....📸
NB: Swali linarudi kwao, Hivi kwanini wao hawapewi funguo za dragon?
Sasa kwa nini tunaajiriwa
1. Tunaajiriwa ili tupate ujuzi na kujifunza vitu ambavyo tutavihitaji mbele ya safari
2. Tupate akiba ambazo tunaweza kuzitumia kama mtaji
3. Kukutana na watu (connections)
Hard skills make experts.
These soft skills make millionaires:
🔹 Creativity
🔹 Leadership
🔹 Adaptability
🔹 Collaboration
🔹 Self-Awareness
🔹 Communication
🔹 Problem-solving
🔹 Time management
🔹 Emotional regulation
Master these to succeed in life.