Matibabu ya Upasuaji kwa Mlinda Mlango wetu @28_manula yamekamilika, Al hamdullilah 🙏
Taarifa kamili juu ya maendeleo yake na muda atakaokaa nje ya dimba ipo kwenye Simba App
Get well soon nyanda, Tutakumic🙏🙏
Kipa namba moja wa Simba SC @28_manula amesema tangu Tanzania imeumbwa hajawahi kutokea beki wa pembeni bora kumzidi Mohammed Hussein mlinzi wa kushoto wa Simba SC .
Unakubaliana na Aish ? Kama hapana taja Mabeki wako wanaomzidi Zimbwe ?
#wekamaneno
@28_manula ANASTAHILI VAZI LA UTUKUFU…
Mchambuzi bingwa ameshakuwekea Uchambuzi wa kuna kwanini Anastahili…
Ingia https://t.co/IAcunNIqFA
Au bofya link kwenye bio. #factballtz#factballtz2022
#AirManula ✈
@28_manula amemaliza ligi akiwa Golikipa mwenye clean sheets nyingi zaidi ya wengine 1️⃣8️⃣
#Manula huu unakuwa msimu wa 6 mfululizo kumaliza ligi ya soka ya Tanzania Bara akiwa na clean sheets nyingi zaidi .
#VPLupdates#WasafiSPORTS