Political & Economic Commentator ๐น๐ฟ | Strategy โข Development โข Regional Affairs | Read the pattern, test the evidence, understand the direction. T2025SSH|
โLife must continue. Our responsibility is to build our today to be better than our yesterday. I beg that we continue protecting our values of unity and collaboration.โ
โMaisha lazima yaendelee. Wajibu wetu ni kujenga Taifa letu liwe bora kuliko jana. Naomba tuendelee kulinda maadili yetu umoja wetu na ushirikiano.โ
Prof Samia Suluhu Hassan.
Kuna fursa kubwa kwenye madini, miaka ile @zittokabwe anapigia kelele sekta hii, na kuimiza mazingira rafiki kuwezesha wazawa kushiriki kwenye value chain yote ya madini hakueleweka. Leo kuna watanzania maelfu wanaofaidika, hata hivyo bado kuna changamoto kadhaa za kufanyia kazi.
Pokea salamu za washiriki kutoka nchi mbalimbali duniani hapa katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kuelekea Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuanzia kesho Oktoba 05 - 09 nchi itakuwa busy๐๐
#IPU Arusha si mkutano tu wa viongozi wa mabunge.
Ni diplomasia.
Ni fursa za kiuchumi.
Ni utalii.
Ni utamaduni.
Na kwa Tanzaniaโฆ
Ni nafasi ya kuonesha dunia kile ambacho nchi hii inaweza kufanya.
#IPU2026.
Tanzania inatarajia kuwa mwenveii wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) utakaofanyika iijni Dar es Salaam kuanzia Oktoba 6 hadi 9, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Tanzania inatarajia kuwa mwenveii wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) utakaofanyika iijni Dar es Salaam kuanzia Oktoba 6 hadi 9, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
@Makaveli_255 Labda tumevutiwa na picha za mashamba ambayo hapa yako mengi kwa uzalishaji wa parachichi, na soko la Zambia halilingani na la Tanzania hata kidogo. Ila kwenye miwa (sukari) wamejitahidi, na hatupishani sana.
Imani yangu ni kwamba;
1. PM wa sasa alishavuka level ya kutishwa na siasa za majitaka maana kakulia ndani ya chama na serikali haswaa
2. Alishasema wazi kwamba kwa sasa kipaumbele chake ni kutumikia nafasi yake ya sasa ya kiutendaji na sio kuanza sasa kuwaza ya 2030 wakati kuna ya mengi ya kuyafanya kwa sasa katika nafasi hii
3. Inaonekana yeye binafsi ni threat sana kwa baadhi ya magenge kuelekea 2030 ndo maana hata wakati ambao hakuna mahala kayasema ya 2030 hujikuta jina lake katika mijadala fanania na uRAIS wa 2030.
4. Aendelee kufanya kazi na tumlinde dhidi ya siasa za majitaka kwa kadiri inavyowezekana ili asiyumbishwe katika utekelezaji wa majukumu yake ya sasa kaka PM.
Salaam
@malomalo007 You donโt understand the 2027 arithmetic. Rutoโs camp is building a broad coalition with ODM, while the opposition is still negotiating its structure and leadership.
Ruto amehakikisha kila mpinzani ana chama chake cha siasa. ๐๐๐
Hii ndiyo game of numbers sasa wapinzani wake wamegawanyika kila mmoja ana chama chake cha siasa, watakuwa na presidential bids tofauti, na kura zao zinagawanyika. Ruto kwa sasa yeye hahitaji kumshinda kila mpinzani anahitaji kuhakikisha hakuna anayekusanya nguvu ya kutosha kumzidi.
Kwa lugha rahisi ukigawanya wapinzani, unagawanya kura then unapanga numbers zako, halafu nenda kwenye ballot. โ๏ธ
๐ช๐ฌ ๐น๐ฟ
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi akizungumza wakati wa majadiliano ya ngazi ya juu katika mada inayohusu โMakubaliano Mapya ya Ukuaji wa Afrika katika Dunia yenye Misukosukoโ (Africaโs New Growth Compact in a Turbulent World) yaliyofanyika katika Jukwaa la Biashara la Alamein, Afrika linalofanyika katika mji wa New Alamein Misri.
HAWA NI WANAHARAKATI AU WAGONJWA WA AKILI?
NIMESIKILIZA mwanaharakati mmoja mwehu mwehu hivi anaongelea suala la CHADEMA kusambaza video ya AI ya Waziri Mkuu kuwa ni mkakati wa sijui nani na nani ili kumchafua ajiuzulu na blah blah nyingi sana.
HIVI kweli inaingia akilini kuwaambia watu wenye akili zao timamu kuwa Rais mwenye mamlaka ya kikatiba ya kuteua na kutengua mtu yoyote anayemtaka kwa wakati wowote ule atakao akiona inafaa anaweza kuhangaika kutaka watu wawe blackmailed ili awatoe kwenye nafasi alizowateua?
AU mimi nasoma katiba ya kwangu peke yangu ambayo ina vipengele tofauti ? Yaani Rais anakuwaje na madaraka ya kuteua mtu anayemtaka kuwa kwenye serikali yake halafu anashindwa kumtoa na katiba inamruhusu?
KWA MUDA mrefu sana tumekuwa na akili za hovyo sana na hawa wanaharakati kwenye kumhusisha Rais na kila kitu kwenye nchi hii ili mradi tu ionekane Rais katajwa kwenye kila kitu na kila jambo..
CHADEMA NA WANAHARAKATI wamekuwa ka ma mafisi huwa wanarushiwaga mafupa na kuanza kuhangaika kuyatafuna bila hata kujua yametoka wapi na hiyo ndiyo tabia yao na hiyo ni sehemu ya maisha yao ya kila siku kwa miaka yote waliyokaa hapa duniani..Kwao hiyo ni kazi kama kazi zingine..
CHADEMA wanatumia muda mwingi sana kuhangaika na mambo ya CCM wanasahau kuwa chama chao kinakufa na kinakwenda kupoteza mwenyekiti wiki chache zijazo.. Yaani ndani ya wiki 5 sijazo watalazimika kuchaguz mwenyekiti mpya huku Makamu Mwenyekiti waliye naye sasa kesi yake ya UGAIDI itaanza kusikilizwa kwa kuwa katajwa sana kwenye tume juu ya uhusika wake wa kupanga na kufadhili vurugu za 29 Oktoba 2025..
SIJUI kama wanajua giza lililipo mbele yao na sijui kama wanaelewa nini kinakuja mbele yao lakini kwa kuwa hawanaga akili kabisa yaani wao ni kupuyanga tu kwenye kila kitu wanachorushiwa kupuyanga nacho.
ITAFIKA 2030 wawe na uhakika hakuna katiba mpya itaandikwa hapa na hakuna tume nyingine na uchaguzi utafanyika na serikali nyingine itaundwa na watabaki kupiga kelele kila siku kuwa wameibiwa kura au hawashiriki uchaguzi kwa kuwa katiba siyo mpya na wataendelea kuwa chama cha siasa kisichokuwa na diwani hata mmoja wala mbunge hata mmoja nchi nzima.
SISI TUNA RAHA sana tunapoona mnaanika ujinga wenu hadharani na kusema hamna muda wa kuchabua mambo kwa kuwa ninyi siyo CNN wala BBC..Kweli kabisa endeleenina moyo huo huo na juhudi zenu hizi ziendelee zaidi..
ENDELEENI NA HUU UJINGA TUTAKUTANA 2030 MNYOLEWE TENA..๐
#KigogoMediaUpdates
Huyu mtu anaandika andika tu mambo sijui hata kama anajua anachoandika..
Ruto ni political genius na hii uchaguzi atawakamua mapema sana! Sijui kama wanajua 2022 alishinda uchaguzi huku mpaka makamishna wa IEBC walikuwa wa Raila achilia mbali machinery zote za serikali zilikuwa upande wa Raila
Hawa hawajui kitu wanshindana nayo 2027