Tattoo sio mbaya ila waliochora tattoo wengi wao wanafanya mambo mabaya, karibu ujifunze na kutambua maana maana ya tattoo maarufu asili zake na tafasiri zake
6tin_ https://t.co/kw3cpSLTL5
UKIFANYA HIVI UTAANZISHA BIASHARA YOYOTE DUNIANI.
PDF ina inapages 13 za moto 🔥
Utaipata sasa hivi hakikisha
umenifollow
Niweze ingia inbox kwako 📌
Repost alafu comment "TAYARI"
Nakutumia ndani ya Sekunde moja
#wekezanami
@Roma_Mkatoliki@IAMartin_ Tunamsahau Osama aliyenyonga hiyo beat wazee yupo na hatari sana hii ndo Tongwe tuliyoikosa Kwa mda, Big Up BinLaden wa Utongweni
@thisistemidayo Watu watakaza ubungo kwenye hili kwakuvutia upande wao ila kusoma vitu vingi vigumu ambavyo hauendi vifanyia kazi Moja Kwa Moja hakukufanyi ukawa Bora kuzidi aliyesoma vitu vingi Muhimu anavyoenda kuzifanyia kazi Moja Kwa Moja.
@gobore2018@AnethSissya@chamalozo Lakini nafikiri kwakua umefanya research Kwa kubase eneo Dogo la Tanganyika or Tanzania Pwani ungefanya maeneo kama Mbeya,Iringa,Njombe,Ruvuma even Kilimanjaro kifupi bara ungesema kua wakristo ni waaminifu na wanahiyo hofu ya Mungu.