@PhitMathematic "...Ningepewa nafasi ya kukushauri, ningekuamsha kwanza kutoka katika Usingizi mzito kisha ningekupa kikombe Cha Sharubati Kabla ya kuanza mazungumzo
@JumaAyoo "...Elewa Neno Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata wa Zanzibar ni ndgu zetu wa haki ya kuutazama mtanange huu kwao, Embu kuwa mzalendo bwana Juma ayo
Maswali ya shabiki wa Yanga SC kwenda kwa Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) juu ya suala la kutumika kwa busara 'derby' ya Simba na Yanga.
@abissay_stephen@TunuHassan@Mzeewajambia@mbwana_mshindo "...Hatutaki makosa ya kibinaadamu Mzeee acha hzo mambo zako!!! We unataka uwaseme wachezaji wanawafokea waamuzi kwasababu wamama??
Hao ni mama zetu na ni Dada zetu lakini hii game sio mchezo alikuwa anapewaga jenista kipindi Bado ana nguvu zake lakin ulikuwa unaona intensity
@shaffihdauda1 "...A good dancer must know when to leave the stage, If you stay for too long you got spoiled. Ni muda wako Mzee kuwa achia Vijana hizi aibu ndogo ndogo
Naona kabisa you leave no legacy behind 😭😭
@Mzeewajambia "...Bila ya makosa Mpira wa Miguu usingekuwa na Tofauti na baikoko au kabao kata maana ingekuwa shangwe tu muda wote.
Huo ndio Mpira wa Miguu broo