@JonMrema Tanzania inatakiwa tupate siasa safi,upendo mshikamono tujenge nchi kwa pamoja lakin saiv tunabaguana ila nyie hamlioni hilo vijana wanajenga chuki na wanasiasa kaaa wao ndo wanawapa maisha bora kumbe sivyo hao wanasiasa na wao wanatafuta hayo maisha bora