@efen_fredrick@ExMayorUbungo Kuhudhuria ni utashi wake wala sio lazima maana na yeye anauhuru wa kuchagua kiongozi anayetaka hata uraia ya shule ya msingi inaeleza hivyo hata elimu ya olevel haihitajiki hapo.
@pappin96@ExMayorUbungo Kwani mtumishi wa umma kwenye katiba ni nani mbona unataka kupotosha watu, huyu ni muajiriwa asiyefungamana na upande wowote kura yake ni siri yake hapaswi kuonesha upande wake ili kutenda haki kwa kila mwananchi anayehitaji huduma fulani.