@HecheJohn Wathamini shule za serikali au za serikali wanayoiongoza. Hili ni tatizo Afrika. Kwa mfanyabiashara ni sahihi kwa ajili ya malezi ya watoto kwa sababu muda mwingi yupo busy.
@HecheJohn Binafsi, nimesema, as long as mimi ni mwalimu wa Tanzania shule za serikali na watoto wangu watasoma shule za kawaida. Hii kitu haijakaa sawa. Mtu hawezi kuwa na machungu wakati watoto wake wanastarehe. Viongozi wetu kuanzia wanasiasa walitakiwa wawe mfano kwanza wathamini
@adritari_22@TMnyama4_ Kama mimi. Nilijaribu kidogo tu. Mungu si akaitika... Toka hapo nimekuwa wa Yesu kabisa. Safi sana. Mwambie amrudie Mungu tu. Damu ya Yesu inatosha. Ya Dunia yanapita ila Mungu ninwa milele
@TMnyama4_ Shetani anatumia sana mahusiano kuwatoa watu kwenye uwepo wa Mungu. Kujichukia ni kosa kwa Mungu. Acha Anza kumuomba Mungu kwa sasa. Amka mama acha kulialia mlikie Yesu shida zako. Atakupa amani ya moyo ambayo umeikosa no ya.
@TMnyama4_ Huna kosa hujamkataa, so, usijichukie ni shetani anakutafuta tu. Ukiwachukia wanaume utawaumiza wanaume wengine wasio na hatia. Yupo mwanaune bora Mungu atakupa. Kikubwa uwe mwombaji na ukae mbali na zinaa. Ishi maisha ya kumpendeza Mungu. Hutajuta. Na utanikumbuka..
@TMnyama4_ Jambo dogo sana hilo. Kwa imani yake aanze kufunga na kuomba. akiwa kwenye mfungo aachane na simu hadi mfungo unaisha. Ajitahidi kuomba sana Mungu. Hiyo hali itaanza kuisha ndani ya wiki tu. Amuite Mungu sana . Kwa damu ya Yesu. Atanishukuru. Wegi yametukuta. Ni mapito tu. Yupo
Ile project ya Kigamboni ambayo mwendazake aliikataa sasa , ni kwamba Zenji ndiyo wameichukua na wanaifanyia implementation sasa hivi.
Makubaliano yote yako wazi kati ya Serikali ya SAMIA , Mwinyi na Mr Tariq
Soon Zanzibar itakuwa kama Oman, maana wanafanya kwa kasi sana na kimyakimya mnoooo
Mnooooo watanganyika mko wapi
Aiseeeeeโ๐ปโ๐ป
@TMnyama4_ Amani kwa watu. Sasa omba sana kwa Mungu, funga na kuomba kama wewe ni mtu wa imani. Wiki mbili ni nyingi sana, hali yake ya mwanzo itarudi na ya sasa itaondoka. Pia mwambie na yeye ajikabidhi kwa muumba muombe wote na yeye afunge na kuomba. Mkifanya hivyo ukapita mwezi bado, bas
@TMnyama4_ Kwanza kwa imani yako, muombe Mungu sana amrudishe kwenye hali yake. Kama ni mkiristo, omba damu ya yesu kristo ifanye kazi yake. Kama ni muislamu pia sali kwa imani yako. Hayo mambo yapo sana sana. Unakuta Mungu kakupa mtu sahihi sana ila kaamua kuwavuruga tu kwa sababu hapendi
@TMnyama4_ Njoo unitukane kwa tusi la aina yeyote. Mungu atakufanikishia hilo. Na la mwisho, anza kucheza na hisia zake. Mpige visuprise surprise kidogo... Hii itaamsha hisia zake na kurudisha mapenzi... Ila hisia kurudi pasipo nguvu ya roho mtakatifu ni nothing ndugu...
Pole sana
@ExMayorUbungo Kwa mujibu wa katiba, mtumishi wa serikali hatakiwi kuwa mwanasiasa. Hapa mkurugenzi mpaka kuhitaji mahudhurio nimesituka kidogo...
Kuhudhuria siyo mbaya ila siyo lazima!
@TMnyama4_ Kama una makosa wewe, basi na ikuume. Kama hauna makosa, yeye kamind pesa acha, tulia na utapata aliye sahihi... Kosea njia siyo mtu wa maisha yako. Unampenda tu kwa sababu ya time mliyospend
@TMnyama4_ Isiwe kabisa. Fanya nijue Baba yangu wa mbinguni. Nakuambia siku mbili ni nyingi sana utajua tu. Kingine, mwanamke anayekupenda hawezi kaa uwasiliane naye eti nusu dk, kaka, hapo haihitaji usanuliwe, jisanue mwenyewe mapema. Utateseka sana, niulize mimi ilikuwaje...
@TMnyama4_ Hiyo ishawahi kunitokea mimi! Huyo kwa asilimia kubwa yupo kwa mwanaume, ila ana hofu kukupoteza wewe, na hisia zake zipo kwa huyo mwanaume. Kiufupi hana hisia na wewe, ila kwako yupo kwa sababu maalumu, aidha kifedha au mmezaa naye anahofia kuacha mtoto, au wewe unamjali sana