🚨TAARIFA
Mwanangu @Thereal_taivina kaibiwa Simu yake maeneo ya BUGURUNI na VISHANDU.
Wamekuwa wakitumia watu jumbe za KUOMBA PESA. Naomba usitume pesa yeyote kama ukitafutwa kwa namba ya Taivina.
REPOST 200.
🚨🚨🎙️ | David Ornstein on the possible punishment for Manchester City:
“I don’t expect them to REMAIN in the Premier League if a punishment is equivalent to the verdict” #mufc 👀
Mahakama Kuu imepanga kutoa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU, Novemba 6, 2026, saa 3:00 asubuhi, baada ya pande zote mbili kukamilisha hoja za mwisho leo, Septemba 29, 2026.
REPOST 200.
Kama mgongo wako uko salama na unaendelea kuulinda wivu mkubwa please mchangie pesa ili aweze kulipa hiyo faini.
Airtel Money : 0789416464 (Airtel money)
Jina: GODFREY WILLIAM
#LindaMgongoWako#HaliNiMbaya
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 461
Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasilisho yake ya mwisho (Final submission)
Waheshimiwa Majaji video pictures or television image are the Publication under Cyber Crimes Act.
Publishing under Cyber Crime Act include under the Cyber Crime Act, sijashitakiwa kwa sheria ya Makosa ya Mtandao, hiyo Publishing iliyopo kwenye Sheria ya makosa ya Mtandao ibaki huko huko.
Vilevile Waheshimiwa Majaji the term Publication includes Publication under the Media Service Act 2016 include sending Television videos and other images and so forth.
Sasa kwa bahati mbaya yao sijashitakiwa kupitia hiyo Sheria ya Media Service Act. ibaki huko huko nayo.
Strict construction of Penal Statute must be as per Article 13(6) amd I’m favour of the accused person.
Their case was dead on arrival kwa vile walinicharge na publication ya video.
Mimi binafsi nimesikitishwa kwamba mwaka mmoja na nusu tunahangaika na jambo lililopaswa kuthibitishwa siku ya kwanza na kuamuliwa. Mimk imenipa simanzi kubwa sana about our court about our prosecutors about our Police.
Mwaka mmoja na nusu tunahangaika na hili jambo nimesikitishwa sana na mfumo wetu wa utoaji wa Haki.
Upande wa Mashitaka ulitoa mashahidi watano ambao ni PW 1, PW 2, PW 3, PW 16 and PW 17. Kwa Upande wa Utetezi mashahidi wote watano wa Defence walitestify on this Question. Tuanze na ushahidi wa mashitaka.
One notable thing about this issue exception with PW 17 all other witnesses testified under oath that it was accused himself who published in the Jambo TV Channel.
Jambo la pili about the Prosecution Evidence ulijumuisha material contradiction. Mikanganyiko mitupu, walijichanganya wakachanganyikiwa.
Tuanze na PW 1 George Bagyemu. Waheshimiwa Majaji Ukurasa wa 144 wa Record PW 1 anasema yafuatayo baada ya kuangalia vipande vipande aliamua kuwatafuta JAMBO TV he decided to approach Jambo TV who recorded the Clip.
Aliwatafuta Jambo TV waliorekodi Video kwa maneno hayo tu waliochapisha hiyo Video ni Jambo TV na Ukurasa wa 144 angalieni, maneno mengine ukurasa wa 145 he phoned the head of Jambo Tv and ask if he recorded the clip and he told me that the clip was recorded by his employee.
Nilimpigia kutaka kujua kama ni wao waliorekodi na akasema anaitambua na kwamba ilirekodiwa na Mfanyakazi wake. second admission kwamba sio mimi.
Hakuishia hapo ukurasa wa 145 kwamba baada ya kupata hiyo taarifa kutoka Mkuu wa Jambo TV na kusema huyo aliyerekodi yuko Dodoma kikazi. PW1 akampigia Ramadhani Ng'anzi Polisi yuko Dodoma.
And informed DCP Ng'anzi and the witness who recorded the video is in Dodoma for duties.......
😂😂😂 hapa inaitwa Ugali wa Moto na Mboga ya Moto.
PW 1 anaiambia Mahakama kuwa sio mimi niliyesambaza hayo maneno, haya aliyosema PW 1 yalitokea tarehe 06/04/2026 siku tatu baada ya Mkutano wangu walijua nani aliyerekodi.
Mtakapokaa na kuamua cha kuamua kuwa these evidence was know to prosecution three days after the meeting walikuwa wanajua nani amechapisha na kusambaza hizo video.
That was three days after my arrest, walijua nani amefanya hili kosa lakini kwani shida ni nini? Mpeni UHAINI AKAE NDANI.
Kwa Lugha ya Kipolisi mpe KICHWA akae ndani.
Tuendelee na Ushahidi wa Publication kwa ushahidi wa PW 7, tarehe 07/04 siku iliyofuata wakampata huyo aliyerekodi hiyo video. PW 17 aliyerusha hayo matangazo na wakapata nakala ya video aliyorusha yeye mwenyewe na tarehe hiyo hiyo wakapata maelezo yake ya maandishi na yakarekodiwa na Inspector Churu.
PW 17 maelezo yake yako Mahakamani kama kielelezo D16 huyu Shahidi alieleza kinagaubaga jinsi alivyopata habari za Mkutano wa Chadema na walivyoagizwa kwenda kwenye mkutano huo na alieleza vifaa walivyokwenda navyo.
Part 462 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.