@kalegamyeh Jichanganye kufanya matibabu muhimbili utalia nusu ya bill unagawana na bima nililala wiki mbili tu charge ikaja milioni moja laki nne na tisini halafu bima anakulipia laki nne
@TayanahTibs We kama nani sister,huna mamlaka ya kuwapangia watu namna wanavyo fikiri mlaumu mwenyewe yeye ndie aliabza ku expose maisha yake humu acha waruke nae tu
@TayanahTibs Kwahiyo unataka kuwaambia wazazi waliopoteza watoto wao watu waliopoteza wapendwa wao kwakupigwa risasi walipewa mafunzo na hela kama denge alivyo tuaminisha ni bora ukae kimya tu unapoelekea utaibua sintofahamu na watu wataruka na wewe
@mad_genius6 Very soon watatangaza kuwa HIV imepata cure ila mziki kama hujajua umeamia kwenye non-communicable disease huku ndio balaa,sukari,figo,moyo
@jwise017 Kanisa lina historia mbaya sana ya ubadhilufu wa mali za kanisa zinazo fanywa na viongozi wakiwamo ma Askofu na wachungaji ndio maana huwezi kulikosa kwenye migogoro kila jimbo nchi hii
@Kil0voltI Sitakagi hata kusimulia,kusanuka kuna jamaa inapewa mali yako maswali yanakuja mengi muda huo kwahiyo walilala uchi kama nilivyo lala nae hapa 😅😅
@MarekaMalili Hatukujifunza tu kuwa watumiaji wastaarabu wa kileo,tumekuwa tukiaminishana ukiweza kufagia cret au mabapa kadhaa we ndio mwamba hili ndio limechangia kiasi kikubwa kutuangusha