@VictorMcIvan@FatmaSulley Hapo mwanamke unaweza mlaumu bure pengine mwenye mke ndiyo tatizo mana kumbuka mke hakutoka kwao kuwa kama fahari, huenda jamaa hatimiz majukumu hapo utegemee nn hapo
@WaSanyajuu@kigogo2014@NyiririM Kwahyo huwa unafanya matumiz ya ovyo ili serikali ipate kitu? Au unataka kusemaje, mana siku zote maisha yanataka usiwe na matumiz ya ovyo hata kama unamiliki pesa nyingi sana
@local_young_man @HekimaNeno@Jchris66283712@HildaNewton21 Sasa kama kuweka ulinz huoni sasa lazima wao wakwambie kama haiwezekani kwakuwa wakuweka ulinz wanaweza kuwa hawapo??
@KemboOkumu@ccm_tanzania Rejea vizur swali langu, na uzur unatembea na namba, piga hesabu pia kuhusu gesi kama kuitumia kama chanzo cha umeme pekee hicho kiwango kinaweza tumika kwa mda gan