@privaldinho unataka watu wasiendelee kuichambua Yanga wakati ww ambaye ni kiongozi wa Yanga kila uchwao unaichambua Simba? kwenye post zako 10, 8 zinahusu Simba na 2 zinahusu Yanga, yaani unaichambua Simba utafikiri ndo waajili wako bwana
@Mtachi_Tz@MickyJnr__ sasa Azam kukataa fedha za Kaizer ndo kumaanisha watakataa fedha za Simba? then Zaka Zakazi alisema hawajapokea ofa nzur wanayoitaka ili waweze kumuuza Fei hivyo basi Fei atabaki Azam kumalizia Mkataba wake na sio kuwa kaambiwa aaubirie kwakua wanaproject nae!
@ilomo_robin@MickyJnr__ kwani shida iko wapi? mbona Dominick Salamba na Hans Raphael pia wanaonyesha mapenzi na mahaba ya wazi na nyuma mwiko na husemi? hata hivyo kuwa na Mwandishi kuwa kuonyesha mahaba kwa timu fulani sio kosa kisheria!
@Dominicksalamb1 kwan wakati Singida Black Stars wanamtoa Israel Mwenda kwa mkopo kwenda Yanga wenyewe walikuwa hawawanii taji moja na Yanga? mbona hilo swala HALIKUKUFIKIRISHA iweje kwa Simba LIKUFIKIRISHE? hao wachezaji wa Mamelody hapo kwa Simba watapata nafasi ya kuonyesha walichonacho!
@Kagurusi5@JumaAyoo kwenye hicho kifungu kuna maneno “after consulting the host federations” je kwenye barua ya CAF waliandika “they changed the venue after consulting the host federation?” unaweza kujua kusoma kiingereza ila usijue kuelewa na kutafsiri kiingereza!
@denhope26@MickyJnr__ even if Tanzania has more than one stadium but still Simba is not a team from Zanzibar and definitely Amaani Complex is not Simba’s home ground and it’s not a crime for people to be disappointed after the change of venue!
@denhope26@MickyJnr__ so will you pay for them to be accomadated in Zanzibar? even if they are new to our continent are u sure they came to Tanzania so they can be accommodated in Zanzibar? this is about Football matters n not tourism u shouldn’t mix the two scenarios coz they differ!
@rick_chuga@MickyJnr__ that picture is before the maintenance were done after Simba played against Al Masry and his is how the pitch and the stadium looks like now after the maintenance were done so far!
@kila_26@RaymondSadik@MickyJnr__ Micky is saying what we all can see so how is he a fool? if the ground is good to go why change the venue? only a nyuma mwiko fan will be against Micky by post about Benjamin Mkapa Stadium!