JOHN WAGESA HECHE Anashusha Nondo Nzito Sana Hapa Wasafi Watangazaji Makada Wanapoteana. Wanauliza Swali Wanafikiri Wameuliza Swali Zito Lakini Namna Heche Anavyotoa Jibu Zito Wote Wanabakia Kukenua Meno Tu. John Heche Kanyooka Kama Mkia Wa Ngiri
Mpeni RT 200 ๐ค
Mhe. Lissu: Polisi walikwambia ukiwa shahidi kwenye kesi hii watakufutia mashitaka yako si ndio?
Shahidi wa kificho P6: Hapana Mheshimiwa we acha tu. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Elimu ya bure kwa mr President chapa reposti 100 kwaeshima ๐๐๐
Kitu pekee wanachoweza hawa WASENGE ni KUTEKA wakosoaji wa serikali.
Kila kitu wao ni kuomba msaada tuu, hapo bila kusahau juzi tuu wametuambia โwanatuonea wivu na URANIUM YETUโ hiyo URAMIUM inafaida gani kama mpaka kujenga UWANJA tuu mnaomba misaada.
Zanzibar wao wanajenga viwanja huji kusikia wamekosa pesa za ujenzi,njoo TANGANYIKA sasa.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐