Zikumbuke siku ulizofanya maombi ya mafanikio uliyonayo hivi sasa na umshukuru Mungu tena kwa kukuwezesha. Na wewe ambae bado shukuru Mungu kwa kuendelea kukupa uhai na afya njema.
MUNGU NI WETU SOTE.
Kweli shetani ananguvu. Kuna wale wakitoka kanisani wakirudi nyumbani unaskia nyimbo za dini tu lakini ikaanza jumatatu sasa, utasikia Ana ngongingo, wowowo wiki nzima.
Saidia kuzuia kuenea kwa #Corona
Nawa mikono mara kwa mara kwa angalau sekunde 20 kuua virusi mikononi mwako. Hii itakulinda wewe, familia yako na jamii.
#JikingeWakingeWengine#CoronaInazuilika
@rollymsouth@JanjajrNinja420 😁😁 siwezi kuisahau hiyo siku, mshua alipiga na fimbo zikaisha akaona haitoshi akabeba kiti. Ogopa mtu anakupiga halafu analia yeye kwa uchungu😁