@Elinisaidie_TZ@ayubu_madenge Acha ,kusema yasiyo na maana, mafanikio ni mipango ya mungu na kila alietumika serikalini na kutoka na mali alichukua kodi hakuna jipya, hakuna mafanikio kwa kuchota kodi wewe ni mwizi kama wezi wengine, na kama elimu basi mafanikio alikupa babako na mungu
@msangijeff Endelea kujiuliza ilikuwaje na leo kwanini, hata wewe ni mtuhumiwa ulie uraiani Ila unaishi na kuendelea na majukumu kwa huruma za sheria vikizidi inafuata mkodo wake, kwamana hujawa na madhara ndio mana huguswi pamoja na uvunjufu wa sheria unaoufanya na ndicho walicho fanyiwa wo
@msangijeff Kipndi hicho chote hawakuguswa wala kuulizwa au kunyanganywa chochote na wazanzibari waliwapenda sana,kwanini leo wanyanganywe hapa hutakiwi kulaumu kwanza jiulize, kuna mahala wameharibu, hata kama walionewa taratibu zipo wangefuata, sasa hayo ndio majibu ya sheria mkononi
@msangijeff Jeff Msangi,katika hii nchi hakuna kabila wala dini special eti wao wafanye au wawe kama watakavyo Miaka hiyo yote unayosema wamasai wapo hapo zenj hawakuwa wanauza dawa wala chochote wengi wao walikuwa walinzi mahotelini, getini na kusaidia kushusha mizigo na marungu yao
@hancymachemba@eastafricatv Hancy,angalia Dar unapoishi na machinga wanachofanya pembezoni mwa njia za wenda kwa miguu wako radhi watu wasukumane na magari wao waweke biashara zao, sasa maana halisi ya zile njia nini, na wanapo ondolewa wana azinsha fujo inakuwa vurugu, Kiukweli hizi kura zinazotafutwa
@hancymachemba@eastafricatv Hancy sitegemei wewe uulize swali kama,hili kabisa angalia au soma maelezo wamekuwa wakipewa elimu ya kutolima au kutumia eneo la hifadhi ya barabara kila mara, sasa watu kama hawa usipo onesha vitendo kesho watamsubiri makonda waseme wamechukuliwa mashamba yao na hawajalipwa
@chax255 @mackphason Babu yako hana cheti chabkuzaliwa? Mana alienacho si sababu ya kuwa Raia je asienacho? Unajuwa unatakiwa utulie utafakari hiyo kauli
@eastafricatv Hii nchi akija Rais kichaa Tutakimbia nchi sisi wabongo wakaidi sana na tunapenda kulalamika kwa makusudi yetu, kitu tunafanya alafu serikali mbaya, hawa mnao waita viongozi ni sehemu ya sisi tumekuwa nao, soma nao, na kuishi nao,Tunajuana vizuri sana hawafanyi jambo kwa kukosea
@prossoff@Nkololotz Acheni msada ubaki kuwa msΓ da hayo ya kupata fedha ajitoe mwingine, ni sawa na kuambiwa karibu kula unasema hiyo fedha nipe ninashida zingine, ujue umeharibu sana kwa aliekujali kwenye kula, Tuangalie moja alafu la pili lifuate baadae
@bbcswahili BBC,na ukibaraka wa vyombo vya Marekani, Huwezi Amini kuwa UK ndio alikuwa mtawala pale Marekani leo amekuwa mpambe wa marekani, kimewafika nini haijulikana wamekuwa vibaraka kila kona, sasa hata habari wanapangiwa, hamuwezi poza machungu yaliyopita USA ni magaidi
@TheChanzo Kwakweli Mimi naunga mkono swala la mgombea binafsi, Naamini hawatokuwa watu wanaokwenda bungeni kwa maslahi bali kutetea wananchi mana anajua fika akifanya makosa wananchi watamkataa kwenye box, na hatokuwa muoga katika kueleza yale yanayohusu wananchi,
@captainmaestroo @Hunterjay12345@Wilhelimina8 Alafu anatokea mwanamke mliekutana utu uzimani kwa sababu ya ndoa au kuishi pamoja anakwambia sitaki kuishi na mama yako au mrudishe kijijini tutampelekea kila kitu, Ila mama yake aje aishi hapo kwako ahhh ngoja nikae kimya
@JJMaxmillian@ndembo255@JrKapesa Leo hii nchi ina angamia kwa ajili ya watu wajinga kama wewe waliotafuta vyeti wakapewa nafasi, mwisho wa siku hawana wanalofanya, tu uajiriwe upate fedha na sio kuwa na mchango katika Nafasi uliyopewa, tunawaona wenye 1st class kama wewe wanahangaika huku,Elimu Kwanza sio GPA4.9