BA in Tourism Management and Hospitality, Tour Operators, Managing Director in IKUNDA TOURS and SAFARI,Work at Jambo Shop behind Old fort Zanzibar.
0714794632
@YerickoNyerereT Wasiasa uchwara mlicheleweshha kufikia lengo mapema sasa kwasababu hawakaamini kama itawezeksna ndiyo yakatokea hayo, kwahiyo maana ya Demokrasia kwenye chama ni ipi kama ukikosa kiti unastaafu siasa ?
Ulisema ukipigwa hakuna kuhama imekuaje umekimbia na bado unalilia CDM
@YerickoNyerereT Gen Z walichelewa sana kumtoa huyu dalali 2a Siasa ndiyo maana baada ya kukosa asali chupa kubwa sasa unalilia kwasababu huko chauma asali ni chupa ndogo, sahau udalali fanyeni kazi sasa za halali
@OleMtetezi Umeishiwa point, siku ya UCHAGUZI hairuhusiwi kuvaa nguo ya chama chochote hivyo itakuwa mmerahisisha kazi kwa Intelejensia ya Polisi kuwajua wahalifu wa siku hiyo fasta.
Epuka uongo, ukivaa za CCM umejitambulisha wewe ni adui wa CCM kwasababu wana elimu ya mpiga kura.