@godbless_lema Punguza uchochezi kaka
Acha kauli za kibaguzi katikati ya majonzi
Mlishatoka kwenye reli ya Mapambano ya democracies Mkaelekezeana silaha nyinyi kwa nyinyi
Let peace and solidarity lead our nation
MSIBA HAUNA CHAMA PLEASEπ
You were so smart before
Tangu upigwe chini Kanda ya Nyasa CDM
Umekuwa chawa wa hovyo
Umetumia Urafiki wako Lissu, heche, lema n.k Kuipasua CDM
That guys there confused bcz of you
Kwa sasa wewe ndiyo Mchungaji wa Hovyo kwenye karne hii
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.