@zittokabwe Jitahidi kufikiria sana kabla ya kupost kwa vile unafatiliwa na kundi kubwa linalo either vitiwa na post zako au vinginevyo. Umedanganya sasahv zaidi ya mara 5 unafeli
@godbless_lema Unatolea mfano wa nchi ya watu 2.8milioni ndio unalinganisha na Tanzania? So walichofanyiwa watu2.8 milioni mnataka kifanyike kwa watu 59.9milioni?. Wapinzani kwa Kweli awamu hii hamna issue. Mjiandae tu kwa mwaka 2025
-Wapinzani Wanazuiwa Kufanya Mikutano
-Wakosoaji Wanalala na Kesi Za ML
-Ofisi ya ASSAD mmeipiga vita
-Wanaharakati wanatishiwa kuuwawa na TCRA wapo kimya.
Your government has killed 'checks and balances' not ZITTO.
Ukitaka kuwekeza, anza kujifunza ku-save kidogo ulichonacho. Pili, nunua shamba kwa bei nafuu, pimisha halmashauri na pata hati yako. Tatu, jenga ‘property’ (godown, nyumba etc). Nne, kuwa na wazo kubwa la biashara, ingia benki chukua mkopo kwa dhamana ya jengo lako. #NjeYaBox