Eh? So “2025 tunaweka kama koma tu lakini safari inaendelea”
Umesahau kusema Insha’Allah
Mmesahau mlivyojitapa na Magufuli? Hadi mkasema baada ya 2020 mtabadili Katiba awe Rais wa maisha? Kilichofuata si mnakijua?
Binadamu hupanga, Mungu hupangua
Eniwei mahodari #TutaelewanaTu
@MariaSTsehai Na ukizingatia kwa sasa hivi SSH ana miaka 63, sawa na umri ambao baba wa Taifa alig’atuka madarakani. Chawa wanataka bibi wa watu kumsumbua 2025-30!? Wamuache apumzike. Tafadhali🤔