Despite persecution and repression, Tundu Lissu remains steadfast in his democratic convictions. His nomination honours this extraordinary courage. The EU must no longer tolerate the criminalisation of legitimate opposition work or the manipulation of the judiciary in Tanzania.
There is no doubt whatsoever about the political nature of his detention. It is a prime example of the increasing pressure on the opposition, peaceful protest and political freedoms in Tanzania.
Tundu Lissu has been in detention for more than 500 days because he advocates for free and fair elections and a democratic future for his country. He continues to face the death penalty.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 419
Upande wa Jamhuri wanaendelea kumfanyia cross examination Makam Mwenyekiti Bara John Heche.
Katuga: Waambie Majaji kuwa wewe ulitangazwa katika uchaguzi usio huru na haki lakini haukuukataa.
Heche: Sahihi
Katuga: Ni sheria gani ya uchaguzi au yoyote ya nchi inayokulazimisha wewe ukitangazwa kwenye uchaguzi usiokuwa huru inakulazimisha usiukatae?
Heche: Ni wananchi, sheria siijui
Katuga: Wewe binafsi ukitangazwa kuwa mshindi, uchaguzi unakuwa sio wa haki?
Heche: Sio kweli
Katuga: Kwahiyo uliingia Bungeni kupitia uchaguzi usio huru na haki?
Heche: Sahihi kabisa
Katuga: Ukaserebuka
Heche: Kuna kuserebuka Bungeni?
Watu kicheko😂😂😂😂
Katuga: Nilikusikia ulisema kuwa kuna Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi baadae akaenda kugombea jimbo la Butiama ?
Heche: Sahihi
Katuga: Hakuna mtu aliyewahi kufanya kazi Serikalini na baadae akajiunga na chadema?
Heche: Wapo
Katuga: Mtu yeyote aliyekuwa mtumishi wa umma, mfanyakazi wa Serikali nikisema kuwa atakuwa na haki ya kujiunga na Chadema?
Heche: Mtu akiwa mtumishi wa Umma halafu akajiunga na Chadema watamfukuza, ila akimaliza sawa
Katuga: Ni sahihi mtumishi wa umma akistaafu anahaki ya kujiunga na chama chochote?
Heche: Sahihi
Katuga: Ni sheria gani huyo mgombea wa Butiama aliyovunja yeye kujiunga na kugombea CCM?
Heche: Kwa utaratibu wa CCM huwezi kugombea kama hujawa mwanachama kwa zaidi ya miaka mitano iliyopita kwahiyo alijiunga CCM akiwa Mkurugenzi wa Tume
Katuga: Ni sahihi kuwa msimamo wa Chadema ulimaanisha bila mabadiliko uchaguzi usogezwe mbele?
Heche: Ni sahihi
Katuga: Ulieleza sheria gani inaruhusu uchaguzi kusogezwa mbele?
Heche: Sikueleza
Katuga: Ni sahihi kuwa wewe Lissu na Lema mlienda Kenya kumuona Raila Odinga?
Heche: Ni sahihi
Katuga: Huko Nairobi mlimwambia Raila kuwa mnaenda kuzuia uchaguzi? Tunaenda kukinukisha?
Heche: Tulimueleza matatizo yote ya uchaguzi wa Tanzania
Katuga: Nina wasiwasi kama kweli ulipata division one
Heche: Una haki ya kuwa. pia punguza hasira na wasiwasi japo na mimi nina wasiwasi sana na Degree yako ya Mzumbe
Jaji Ndunguru: naomba twendelee tukimaliza hapa mtaenda kulumbana huko nje
Watu:😂😂😂😂😂
Heche: Waheshimiwa majaji tulizungumza mambo yaleyale ingawa hatukutumia exactly words.
Katuga: Taarifa zinazotolewa na Brenda ni wewe unamuelekeza atoe?
Heche: Ofisi ya Katibu Mkuu
Katuga: Uliulizwa na mshtakiwa kwamba yeye anashtakiwa kwa kuandaa mkutano na kutamka aliyoyatamka, wewe ukasema sio kweli
Heche: Sahihi
Katuga: Kabla hujaja kutoa ushahidi ulisoma hati ya mashtaka?
Heche: Niliisoma
Katuga: Waambie majaji kuna sehem imeandikwa Lissu anashtakiwa kwa kuandaa mkutano?
Heche: Nipe hati ya mashtaka niisome ila nakumbuka ameshtakiwa kwa mambo yaliyotokea kwenye mkutano
Katuga: Jibu swali
Heche: Sijui
Katuga: Ni ushahidi wako ulisema kuwa tuhuma za kualika waandishi wa habari sio sahihi na Sekretarieti ndio ilialika?
Heche: Sahihi
Katuga: Waambie majaji mshtakiwa anashtakiwa kwa kualika waandishi wa habari?
Heche: Sijui
Katuga: Waambie majaji kama Mwenyekiti Lissu alitaka au hakutaka hotuba yake ya 3/4/2025 alitaka iwafikie umma
Heche: Siwezi kujua kama alitaka
Katuga: Ni kweli au sio kweli kuwa 3/4/2025 kuna mambo ya ndani yalifanyika huku waandishi wa habari wakiwa wametolewa?
Heche: Sikumbuki
Katuga: Na ulikuwepo kwenye mkutano?
Heche: Mwanzo mwisho
Katuga: Mr Sikumbuki
Heche: Unataka nijibu majibu yako unayoyataka wewe, huku anacheka.😂😂
Katuga: Waambie majaji Lissu alikuwa na uwezo wa kukataa au hakuwa na uwezo wa kukataa kuongea na waandishi?
Heche: Sijui
Katuga: Lissu alikuwa na uwezo wa kukataa au kukubali kuongea na waandishi wa habari?
Heche: Secretariat haina uwezo wa kumlazimisha Mwenyekiti.
Katuga: Unafahamu au hufahamu kama kulikuwa na hotuba rasmi iliyokuwa imeandaliwa?
Heche: Aliyoandaa yeye au?
Part 420 Inaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
Rais wa Dangote Industries Limited, Aliko Dangote, amesema hataki tena kuitwa mtu tajiri zaidi barani Afrika, na badala yake angependa zaidi kutambuliwa kwa uwezo wake wa kujenga utajiri na kuunda fursa kwa ajili ya watu wengine.
ALILAWITI KWA NIA NJEMA; AACHIWE HURU:
Ndugu ABDALLAH JUMA ambaye ALILAWITI KWA NIA NJEMA, amefungwa GEREZANI kwa MIAKA 30. Amenitumia UJUMBE kwamba; anaomba NIMTETEE ili AACHIWE HURU kwa kuwa ALIKUWA NA NIA NJEMA.😂😂👇
1999 Askofu Pengo akiwa kijana wa miaka 55 aliongoza misa ya mazishi ya Mwalimu Kambarage Nyerere katika Kanisa la St. Joseph - Dar es salaam, lakini hadi kufikia Agosti 2026, Askofu Pengo na Mwalimu wote walikua wameshafariki, Kanisa na nchi wote tumepoteza watu muhimu
Ombi langu rafiki zangu wa Nguvu wa jamuhuri Twitter Leo siku imeisha vibaya Jana ndugu zangu Naombeni sapoti yenu mtu yeyote atakae guswa naomba munisaidie nipate hela ya chakula ndugu zangu. M-pesa 0754 500572 Joseph Mrungu,Ntashukuru Sana ndugu zangu Naombeni Sana ndugu zangu
#TANZANIA: NIMEPAMBANA KWA MIAKA 30 YA UJANA WANGU, NIMEBAKIZA MIAKA MICHACHE, SIOGOPI - LISSU
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akitoka Mahakamani amesema amepambana kupigania haki kwa zaidi ya miaka 30 kwamba haogopi kitu chochote kwani amebakiza miaka michache duniani.
Zaidi: https://t.co/yxhrSnWgjM
@zoetjesheeftX Hili limetokea nchi Gani
Afu na hapa Africa ndo najua akili hazimo🚮🚮
Mtu anavutwa kule juu bado mnaandika et anapaa
Hili bara Lina laana sana hili🚮🚮🚮😂😂