#VETA ni kwa ajili ya kujipatia #Ujuzi … familia ya #Bumaco imejikita katika ujuzi wa kupambana na kupunguza madhara na athari za majanga ya kimaisha … njoo upate elimu bure juu ya #Bima kwa ajili ya manufaa yako binafsi, familia, na pia shughuli zako kama vile biashara, nk
I am Celebrating You Today, A child of Most High God, A Daughter of a Pastor, A wife of a great man, A Mother of amazing children, A leader,Enterpreneur of All The Time We Honour GOD for your life. Thank you for lessons but most of all, you taught us the Fear of GOD. Love you Mom
Katika Siku Hii Ya Wanawake Duniani Tunampongeza Mwanamke Kiongozi Ngazi Ya Juu Bumaco Life Insurance @LifeBumaco Tanzania, Mkurugenzi Mtendaji (MD), Dkt. Aikande C. Kwayu @aikande Kiongozi Makini, Shujaa, Imara na Kielelezo Cha bidii Katika Kampuni na Taifa #Bumacoinsurance
Kutoka 15:11
Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe? Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?
MUNGU MUUMBAJI USIYEUMBWA, TUMEONA UAMINIFU WAKO, WEMA WAKO NA UKUU WAKO TUNAKUOMBA KUTOKA SAKAFU ZA MIOYO YETU UKOMESHE UONEVU, UTEKAJI NA UOVU ULIOPO TANZANIA.