@AbroadTanzania Roho mbaya ndio maana mnakuwa maskini kila siku.kama Mungu kambariki GSM tena mtanzania mwenzetu akafanikiwa kununua uo mradi..we nn kinakuuma wakati nssf wametangaza kuuza?acha roho ya uhasidi kama vp kanunue wewe
@MariaSTsehai@SuluhuSamia@TunduALissu Ivi wakati ule babaako akiwa madarakani maraisi walikuwa awakosei?au wakatii uuu ndio wanakosea sana sasa wanahitaji kudhalilishwa tuuu..