I'M SORRY THAT'S JUST NOT THE WAY I AM.
.
.
#motivational
💜
Don't be afraid of failure. Learn from it and keep going. Persistence is what creates excellence.
Hey guys plz I really need your advice; my girlfriend stopped sending me my weekly allowance for the past two weeks now saying she's broke,the thing now is that I no longer ev feelings for her. someone should advice me if I should leave her or become an understanding boyfriend😌
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imefuta (imeondoa) zuio (injunction) lililotolewa na Mahakama Kuu (Masjala ya Dar es Salaam) Juni 10, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga (ambaye ndiye aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo).
Zuio lilikuwa linazuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zozote za kisiasa, kutumia mali zake, kushiriki katika shughuli za chama hadi kesi ya msingi isikilizwe na kumalizika.
Kesi (Civil Case No. 8323 ya 2025) ilifunguliwa na Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti wa Freeman Mbowe) pamoja na wenzake wawili (waliohusishwa na mgawanyo wa mali za chama kati ya Bara na Zanzibar).
Walidai kuna mzozo wa ndani kuhusu mali na uongozi wa CHADEMA. Jaji Mwanga alitoa amri ya muda (interim injunction) ikizuia chama kufanya shughuli zozote za kisiasa na kufungia mali zake ili kesi yao isikilizwe.
Amri hiyo ilikuwa ilikuwa ya muda wa siku 14 mwanzoni, lakini iliendelea kuwepo kwa miezi mingi (hadi karibu mwaka mmoja). Hadi kufikia leo April 15, 2026 ni jumla ya siku 310 tangu kuwekwa zuio hilo haramu kabisa.
CHADEMA ililalamika kwamba: Zuio lilikuwa kali sana na liliathiri haki yao ya kufanya siasa. Jaji Mwanga alikiuka taratibu za haki ya kusikilizwa (right to fair hearing). Zuio lilikuwa limezidi muda unaoruhusiwa kisheria.
Mahakama ya Rufaa iliyoketi Dodoma ilianza kusikiliza maombi ya marejeo (revision) Machi 24, 2026. Leo (Aprili 15, 2026) jopo la majaji limetoa maamuzi yake na kufuta zuio hilo lililowekwa na Jaji Hamidu Mwanga.
CHADEMA sasa iko huru kuendelea na shughuli zake zo za kisiasa, mikutano, kampeni na matumizi ya mali yake bila kizuizi hicho. Hivyo shughuli ya kushughulika na Serikali katili ya CCM inaanza pale ilipoishia.
Kesi ya msingi (mgawanyo wa mali) itarudi Mahakama Kuu ya Tanzania, lakini kwa jaji mwingine (sio Jaji Hamidu Mwanga tena) kuamua suala moja tu la msingi, kama kesi hiyo ililetwa ndani ya muda au vinginevyo..
Hakuna zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA. Chama chetu kiko huru kutoka katika minyororo ya ukatili wa Serikali katili ya CCM. CHAMA kitatoa taarifa rasmi kwa umma na kueleza vizuri.
NB; Siku 310 za CHADEMA gerezani, ‘vyama mpango wa kando’ wa CCM hawajafanya hata kongamano la jando na unyago. Tumerudi, tupatane kwa ground tuwaoneshe kazi inavyofanywa. PEOPLE’S POWER.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Hongereni sana Chadema. Sasa kazi ipigwe mpaka wapaniki tena……..
Tunachokitaka kwenye nchi yetu ni haki, haki ya wananchi kuchagua madiwani wao, wabunge wao, Rais wao na chama chao. Tunataka haki ya uchaguzi huru na wa haki.
HAKUNA AMANI BILA HAKI. HAKI KWANZA AMANI ITAFATA YENYEWE!!!!
Jizoeshe Kumsifia Mpenzi | Mke| Mume Wako Huwa inaboresha Upendo na Kujenga Imani Hakuna asiyependa kusifiwa, Hata Kama Mpenzi wako ni Mfupi Mwambie Baby Una Ufupi Unique wa Kuvutia 🤗🥰
This is the man who said "no" to millions of dollars to keep the most used website for editing PDFs free.
Marco Grossi created iLovePDF as a personal project and decided to make it available for free.
Jesca anasema Rais Magufuli alikuwa hapendi sherehe kwani alikuwa anaona ni gharama. Rais Magufuli hakuwahi kuhudhuria sherehe ya harusi ya mtoto wake yoyote yule. Tena siku ya harusi ya mtoto wake wa kiume, Magufuli alienda uwanja wa Taifa kuangalia mpira wa SIMBA na YANGA.
Bado ninawashangaa sana watu ambao bado wanaamini yaliyofanyika Oct. 29th yalifanywa na watu ambao sio watanzania!
Mtu anasema hakuna askari wa kitanzania anayeweza kwenda kuwamiminia risasi vijana wanaotazama mpira kibanda umiza!!
Kwani waliompiga risasi TAL hawakuwa wanatokea Tanzania?
Waliomteka na kumuua mzee kibao hawakuwa watanzania?
Waliomteka Sativa,Mdude,Mkato sio watanzania!??
Aliyempiga bomu Mwangosi hakuwa askari mtanzania?
Aliyempiga risasi AQuelina hakuwa askari wa kitanzania?
Kwanini mnajizima data na kujisahaulisha kuwa haya mambo hawajaanza kuyafanya october 29!!
Watanzania nina habari njema, kimama @SuluhuSamia analo, Wyoming utakuwa mkoa wa kwanza Marekani kuruhusu wananchi wake ku-sue serikali za nje ambazo zitakuwa zinaingilia uhuru wao wa kuongea kwa kuzitaka kampuni kama Meta kufuta account au kushusha posti za watu.
Marekani imeanza kustuka kuwa nchi za nje zinaingilia uhuru wa kuongea wa watu wake kupitia kampuni za Kimarekani.
Wyoming wameanza na soon bunge la Marekani nalo litapokea maana sasa imekuwa kero.
Yani ni hivi very soon, TCRA wakituma request meta kuwa mfungieni Mange Kimambi au shusheni posti yake hii basi hapo hapo Mange Kimambi nitakuwa na haki ya kuifungulia kesi ya madai serikali ya Tanzania kwenye mahakama za Marekani. Nam-serve yule kipara wenu pale embassy, New York then tunakutana mahakama mnilipe mamilioni ya dola. Then nikishinda kesi navizia ile Airbus ikiwa nchi ambayo itakubali ku exercise order ya Mahakama ya Marekani then natembea na ndege lenu. Au kama serikali ya Tabzania ina asset nchi ya nje , naenda kubeba kule. Au kama Serikali Tanzania imefanya biashara sehemu flani ile pesa nalipwa mimi.
Nilikuwa nawaza sana Marekani inakubalije nchi za kipuuzi zinazoongozwa na wapuuzi zinapata uwezo wa kuamrisha kampuni za Kimarekani kuondoa watu wanaoishi Marekani kwenye mitandao ya kijamii na kuingilia uhuru wao wa kuongea eti sababu alichoongea kinavunja sheria za Tanzania. Mimi sheria za Tanzania zinanihusu vipi?
Na hii kesi yangu ndio kabisa imeonyesha kuwa hili ni tatizo.
Good job Wyoming , sasa mikoa yoote na Kisha federal ipitishe hii sheria haraka sana watu tupate mahela ya wauwaji.
Kwanza hapa nasali kuwa sheria hii ikipitishwa kitaifa au kwenye mikoa mingine waweke provision ya kuturuhusu sisi ambao tulishakuwa affect kabla ya sheria kuwekwa ku-sue.
Yule attorney general wao ambae hana hata law degree sidhani kama hata ataelewa sheria hii,
Jamani hii posti mtumieni Waziri mkuu Batili na bosi wake, waambieni hakuna tena kufunga account za Mange labda kama wanahamu ya kunitunza bombadier za Magufuli.
https://t.co/bpvFgdAEhW
Ushauri wangu, wakati bado tunasubiri sheria hii mpya ya kuweza ku-sue nchi za nje zinazoingilia uhuru wa kuongea wa watu wanaoishi Marekani kupitishwa mikoa yote ya Marekani, wanaharakati tunaoishi Marekani tuhamie Wyoming kwa kipindi hiki.
Kwanza ikibidi Watanzania wote tunaoishi Marekani huu ni muda wa kila kila MTz anaeishi Marekani kuipigania Tanzania kwenye social media, yani wote tuwe wanaharaka, sasa account zetu zitapata protection la sivyo wauwaji watatupa pesa na tutaagana na kubeba boksi . Tena yalivyo mazero brain kule TCrA wala hayayofanya research kujua mwenye hii account anaishi Wyoming, yatatuma email meta ufungiwe.
Yani hii habari imenipa nguvu maana nilikuwa naumiza kichwa mno kuwa hata nikirudi instagram mchezo utakuwa ule ule, TCRA wataendelea kuwatishi meta mpaka waniondoe tena.
Kina Sativa, Kina Maria Sarungi ni muda wa kusogea Marekani huu, tujiachie kwa raha zetu.
Yani sijui ilikuwaje Marekani walilala miaka yote hii wakawa wanaruhusu nchi zinazoua raia wake ili kushikilia madaraka kuweza kufanya cencorship wanazofanya huko Africa mpaka huku Marekani tena kupitia kampuni za Kimarekani.
@Roma_Mkatoliki@Liberatus80 tusogee Wyoming kaka zangu, tutabeba mpaka vijiko pale ubalozini.
https://t.co/bpvFgdBc7u
Haki mpaka nadata na hii sheria mpya, Haki hizi hela si nawalipa wahanga wote wa mauwaji fidia na Chadema nawapa pesa za kuwatosha . Yani kila posti nayofutiwa na meta sababu TCRA wamewaambia wafute ni $1 million, nimeshafutiwa mia kidogo, hizo pesa wahanga wa mauwaji ya Oktoba 29 watasahau maumivu aiseee na kufarijika. Na itawasaidia vijana kupata moyo kupambana zaidi kupigania haki zao.
Sasa wapitishe haraka jamaniiii. Maana serikali ya Tanzania haitoweza kujizuia lazma wataendelea kusumbua kampuni za Kimarekani zitufungie wanaharakati.
The illegitimate government in Tanzania is in full denial mode, trying to gaslight the world that things are back to normal in Tanzania. Nothing will go back to normal till the murderers are held accountable.
Watanzania dunia bado inapambana kuongelea kilichotokea Tanzania. Kosa kubwa tunaloweza kufanya Watanzania ni kukubali maridhiano na serikali batili maana tutakuwa tumewapa uhalali na tutakuwa tumeiambia dunia kuwa tumewasamehe wauwaji wa ndugu zetu.
Hakuna maridhiano, tunachotaka ni wauwaji wawe held accountable, tutapate katiba mpya na uchaguzi urudiwe ili wananchi waweze wachague viongozi wanaowataka, hatuendi miaka 5 na hiki kikao cha chama kinachojiita bunge.
Wanamtesa Tundu Lissu makusudi sababu wanataka na Lissu atoke jela kwa style ile aliyotoka Mbowe, yani atoke kwa kupiga mapicha na kimama.
Tundu Lissu tunaemjua Watanzania atafia jela kabla ya kutoka kwa masharti ya kupeana mikono na mtu alieuwa Watanzania kama wanyama.