“Nina furaha kubwa leo kuwaambia wananchi wa #Zanzibar kuwa sasa nimeshafanya maamuzi na maamuzi yangu ni KWAMBA INSHA ALLAH NITAGOMBEA nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa mara nyengine tena katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu wa 2020”~@SeifSharifHamad
Kiongozi wa @ACTwazalendo@zittokabwe akizungumzia mkasa wa kukamatwa na Polisi.
"Tumepigwa baridi na mvua masaa manne kwenye gari la wazi kuelekea Lindi toka Kilwa. Kosa limebadilishwa kutoka maandamano yasiyo halali kuwa kuhatarisha amani. Julai 1 tunatakiwa tukaripoti Lindi."
Kiongozi wetu wa Chama cha @ACTwazalendo@zittokabwe na wenzake 7 wamepata dhamana baada ya kuvamiliwa na Polisi katika Mkutano wa ndani na kuswekwa rumande tangu jana.
Muda si mrefu wataongea na Waandishi wa Habari huko mkoani Lindi.
Tutege masikio.
#TutaelewanaTu
Ngome ya Vijana @ActVijana tumewaambia @tanpol Police wafuate weledi wa kazi zao hasa ktk ukamataji.Tumekasirishwa na nguvu iliyotumika kumkamata kiongoz wetu @zittokabwe .Kana kwamba ni jambaz au kibaka. Mh.Zitto ni kiongoz mkubwa na pia mtetez wa maslahi ya polisi Bungen
Katibu wa ngome ya vijana Taifa @Mwanaishamndeme akiongozana na N/katibu bara @AminaKassim__ wameendelea na Ziara ya kutana na viongozi wa Ngome mkoa wa Dar was salaam leo ilikua zamu ya jimbo la Segerea. Ziara yenye malengo ya Kujadiliana maandalizi ya Uchaguzi mkuu October.
CCM ,tunaposema Vijana wa ACT wazalendo tuko tayari kuihami Demokrasia ya Vyama vya Upinzani mwaka huu 2020 mjue kuwa tunamaanisha.
@zittokabwe@IsmailJussa
"Vyuo Vihakikishe Vitakasa mikono (Hand Sanitizers) Vinapatikana katika kila sehemu kama vile Maktaba, Madarasani, Maofisini, Cafeteria na Sehemu Nyinginezo"
@AmiriHamisi8#ActVyuoVikuu
According to the data provided by the Tanzanian Ministry of Health, we have only used 10% of the test kits provided to us. Our government reports show that out of 39,000 visitors who entered the country from Covid19 affected countries, only 273 were tested. Why is this the case?
#ACTWazalendo na Siasa za Masuala: Mfuatilie Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe LEO saa 5:00 asubuhi akizungumza na Watanzania kwa njia ya live-stream. Usikose kumsikiliza wakati umetulia nyumbani. #StayAtHome#BakiNyumbani