Top Tweets for #FreeBwege

@kigogo2014 uko wapiiii??? Tunaomba taarifa za uyo askari anayechapa makofi kiongozi.
#wakeUpKigogo
#wakeUpkigogo
#FreeBwege
#freezito
@fatma_karume Ukiona Video alimpiga na kibao cha mgongo @zittokabwe hii Video inaumiza sana Kiongozi kama Zitto unamwita kwa barua sio kwa kumchapa makofi
Nipo mwanza Leo naelekea geita mida ya jioni Huyu dada kawekwa Kituo Cha polisi wapi .Geita .kataro.au chato ?!!!
#FreeHusna
#FreeZitto
#FreeBwege

@Mwanaishamndeme @ACTwazalendo @BungaraSaid Mungu ampe kheri ndugu Suleiman Bungara, lakini pia ampe nguvu ya kupambana na huu uonevu wa CCM ambao wanadhani nchi hii ni mali yao na ndiyo wenye haki ya kufanya siasa hapa nchini! #FreeBwege #FreeZitto


#FreeZittoKabwe #FreeBwege
Walindeni viongozi wenu na sisi tulindane maana hali imekuwa tete mpk unkuta mtu kwenye kikosi hana uniform, hana identification alafu ndo yuko mbele kuweka mikono yake juu ya mtu ambaye hajavunja sheria!
#ChangeTanzania
Updates Kutoka Kilwa na Lindi:
1/2
Kiongozi wa Chama, @zittokabwe na wenzake 6 walisafirishwa kwa gari la wazi jana usiku mpaka Lindi, Magari ya @ACTwazalendo yaliufuata nyuma msafara wa @tanpol ili kuhakikisha Usalama wa Viongozi wetu. Walifika Salama saa 7 usiku.
#FreeZitto
Updates Kutoka Kilwa na Lindi
1/2
Hali ya Mbunge @BungaraSaid βBwegeβ imetengemaa leo, anaweza kuletwa Lindi asubuhi hii kuunganishwa na wenzake.
Mawakili wa @ACTwazalendo Lindi na wale wa kutoka Dar wameshawasili Kituo cha Polisi Lindi ili kushughulikia Dhamana
#FreeBwege

Cc @SecPompeo @FCOHumanRights @SMcDonaldFCO @StateDRL @MinisterPeterE @mbachelet @UNHumanRights @amnesty @hrw @DavidMalpassWBG @KGeorgieva @vonderleyen @CharlesMichel @EU_Commission @EUCouncil @coe @FedericaMog @antonioguterres
#FreeZittoKabwe
#FreeBwege
ZITTO, BWEGE WAKAMATWA!
Kiongozi wa @ACTwazalendo @zittokabwe na Mbunge mstaafu Selemani Bungara (Bwege) wamekamatwa na polisi muda huu wakiwa kwenye kikao cha ndani Kilwa Kusini.
Serikali ya Magufuli na CCM yao waoga hadi aibu, viongozi wao wanazurura nchi nzima HAWATOSHEKI..

Cc @SecPompeo @FCOHumanRights @SMcDonaldFCO @StateDRL @MinisterPeterE @mbachelet @UNHumanRights @amnesty @hrw @DavidMalpassWBG @KGeorgieva @vonderleyen @CharlesMichel @EU_Commission @EUCouncil @coe @FedericaMog @antonioguterres
#FreeZittoKabwe
#FreeBwege
Hello World,
Kindly read the Press statement by Ms @SemuDorothy, @ACTwazalendo Vice-Chairperson (Mainland) following the unlawfully arrest of Party Leader @zittokabwe, former Kilwa South MP, @BungaraSaid and six others while conducting a rightfully internal meeting...
Shame!!!

@geoffreyyork Yes, Tanzanian President and other officials give themselves immunity...
#FreeZittoKabwe
#FreeBwege

Ms @SemuDorothy, vice chair of the @ACTwazalendo, one of the fastest growing opposition parties, said @zittokabwe and the others had been arrested in Kilwa district, southern Tanzania, as they attended an internal meeting.
#FreeZittoKabwe
#FreeBwege
https://t.co/OYcifMPt1l

@zittokabwe, a prominent critic of Magufuli and leader of the ACT-Wazalendo party was among those taken from an internal meeting in the southern region of Lindi, the groupβs Secretary-General @AdoShaibu told reporters.Β
#FreeZittoKabwe
#FreeBwege
https://t.co/1xB7P6gihY

Orodha kamili ya waliokamtwa:
1.Zitto kabwe
2.Shaweji Mketo- Katibu Idara ya Oganaizesheni na wanachama.
3.Ishaka Mchinjita-Mwenyekiti Mkoa wa Lindi.
4. Abubakar Kama-Mwenyekiti Jimbo.
5. Suleiman Bungala-Bwege.
6. Swaleh Mketo-Diwani
7. Mahadhi Nang'ona; na
8. Akida Mawanja.

Last Seen Hashtags on Sotwe
awekmelayu
Seen from Indonesia
nayanthara tribute
Seen from India
DLADispositionServices
Seen from United States
minichat
Seen from Germany
AIζΌ«ε§
Seen from Japan
beylikduzutraveο¬
i
Seen from Turkey
ebony twerking pyt
Seen from United States
minichat filter:videos
Seen from Netherlands
mgai
Seen from United States
whitegirlswithasses
Seen from Germany
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

















