Mpe mwanaume burudani, mapenzi na faraja, na anaweza kusahau malengo yake.
Mpe mwanaume upweke, kuvunjika moyo na magumu, bado atatamani kuushinda ulimwengu.
MAUMIVU kwa Mwanaume ni baraka, sio laana.
MAN TO MAN
Kuwa BABA sio jina tu, bali ni nembo ya uvumilivu, utafutaji, na kubeba mizigo ya familia kwa upendo.
Shukrani kwa kila baba anayepambana kiume kila siku bila kukata tamaa wala kulalamika na kipaumbele chake kuhakikisha ndoto za watoto wake zinatimia 💪
Jumamosi iliyopita kuna jamaa alikosea akatuma kwangu 460k nimekaa nayo hajapiga simu mpaka siku ya eid nikatumia kama 70k maana nilikuwa sielewi leo jamaa kapiga simu anasema kuna hela alituma kimakosa nimemwambia nilisubiri kimya so narudisha 390k kasema sawa 😏