Mnyama VW kavimba na nzito mpaka ikakubali na 380 HP zake mara nyingi vyuma vya Ulaya wanaenda kutest Huko Brazili kwa wakata magogo na njia za porini baadae ndio wanarudi studio kusuka vyuma.VW Hapo ni kama ina diff za Volvo imenyanyuka na Kaseja 1 tu.!!!