Studied; IMSLA Sec
Went;International Institute of
Development and Medical Science
Pursuing; Social Work and Global Development
Cc;Inspirational Speaker
BAADA YA KUPOTEZA UGENINI
@SimbaSCTanzania wakiwa Conakry, Guinea leo kikosi kitafanya mazoezi na baada ya hapo wataanza na maandalizi ya safari kurudi Tanzania.
Safari bado ni ndefu kwa Simba na matumaini bado yapo katika kundi lao kikubwa ni kujipanga kwa mechi zijazo.