@ummymwalimu Odo barabara ya Jeshini - Kasera vipi? Idadi ya wananchi wa Kasera inaongezeka kila uchao, una mpango gani wa kuweka lami kuanzia Jeshini, Utumishi, Transformer, Kona ya Tofali, Mkwajuni, Duka la dawa, Mipango miji, Kwa Mbaga hadi kwa Masai?? (Kwa hisani ya wanaoshi huko)
@MariaSTsehai@Gideon_Kitheka Huyu fala sana, anasema watanzania wamekubali mgao wa umeme? Watanzania gani hao? Unahalisha upumbavu kwa migongo ya watanzania? Ningekuona wa maana endapo ungeuliza CHANZO cha mgao, usituletee upuuzi apa.