@AshrafAbdamx@HusnaJk1@mangekimambi Ni kweli huyu dada ana roho mbaya sana yani hata hilo la mwenzake kupata mtoto yeye limemuuma uchawi kweli hauna jina
@mangekimambi Mbna bd wakirudi wanapewa hz nyadhifa nyeti kina nyarandu mbn wamepewa lbda uondoke ukiwa huitajiki ccm lkn km unahitajika ccm hawana kinyongo na ktk siasa kinyongo hakina nafasi mpeni nyadhifa mtu kwa upeo wake na kujitoa kwake
@e50232511@kingnweze@BlackSingapore2 Nyinyi ndio maana kumbe mnatetea mpk mashoga kwa kuwa ndio michezo yenu nani hajui kuhusu epstein files juu ya shutuma za trump yani nyny kila kitu kupinga tu
@nabricsllalana@Jeba_OG Kama hujui ni kwamba arteta aliitwa spain na england pia walimuhitaji kwa kuwa alikuwa hana cap yyt lkn akachagua spain kipindi sheria za fifa zipo ngumu kwa national team baadae hakupata namba akataka kubadilisha lkn fifa ikamzuia na mwalimu wk aliyemuita akawa kasepa
@J_Camavinga@JamesMagsir@George_Ambangil Kwani zubi ana kadi?? Hao wamecheza kweli trick kwa maana wanajua washafuzu na mechi ijayo mi nyepesi kwao wanataka kwenda round 16 wakiwa clean timu nzima ndio lengo lao