@zkBaraka @Hamis_Mbaade Hata mimi nashangaa Kila mtu kakomaa na thermal expansion tu. Hata kama engineering sijasoma ila hata lile gap upande mwingine mbona dogo sana ukilinganisha na la upande wa pili.
@officialnovat @Kishoka_2 Kiuhalisia hua napata wakati mgumu sana kuelewa hili jambo, kwa nini wadau hua hawafikirii kuhusu kujichanga mdogo mdogo. Mwisho wa siku unamaliza deni na siku thamani yake inakua kama umenunua simu mbili na chenji inabaki.
@Arsenal_bingwa@Jambotv_ Kuzuia inawezekana kabisa vyombo vingine visiingie mjini. Lakini mabadiliko ya gharama za maisha zitaongezeka ili-hali uchumi(kipato) kwa wakazi wa maeneo mengi bado ni ile ile. Mofat wapunguze bei ile kuleta ushawishi hata kwa wale wa nje ya mbagala washawishike kutumia huduma.
@Vanysimba@Jambotv_ Wapunguze nauli wananchi waamue, tatizo viongozi wanajikita zaidi kwenye maendeleo ya vitu(kuongeza bei ya bidhaa) huku maendeleo ya watu wao wanayasahau. Huwezi kua unatumia 800 alafu ghafla tu uje 1,300 na mtu Hali yake ya maisha bado ni ile ile.
@Jambotv_ Kutoka kariakoo mpaka mbande nauli 800 mpaka 900, alafu mtu apande mwendokasi kwa 1,000 mpaka mbagala alafu atafute usafiri mwingine kwa nauli nyingine tena mpaka mbande au toangoma. Mofat wajitafakari hasa katika eneo la nauli, wamepandisha sana nauli.