@AlfaCharles9@k33zy9122@Mudimabiriani naelewa sanaa icho kipindi but jambo la muhimu sanaa nikujisamehe kwanza na kukubaliana na uhalisia kk. Na nikipindi ambacho watu wako wa karibu hautawaona na ni Mungu anaruhusu iwe ivo ili umtegemee yeye tu so usimlaumu mtu.
kubali kuanza upyaa toka ndani kajichanganye .
@k33zy9122@AlfaCharles9@Mudimabiriani "uzuri ukiwa hiyo stage unajua hali haiwezi kuwa mbaya zaid ya hapo"....I like it, champ ....inshort unajikuta unaanza kuadapt ile hali asee nikipnd kizito mno .