Nilipita Kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi Recho Kasanda aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Matibabu Wakati Nikielekea Uwanja Wa Ndege Wa Dar es Salaam Kuenda Dodoma Kushiriki Uapishwaji wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ikulu Chamwino Novemba 09,
@TCRA_Tz Hongera muheshimiwa kwa ushindi wa kishindo.
Ila
Tufikirieni hili
Biashara zetu, nchi yetu,ndoto zetu,pesa zetu data za kuperuzi zetu lakini kwanini mnatukata upepo wakuu.
Tunaomba ushirikiano wenu katika hilo wateja wanashindwa kutupata kiurahisi.
Biashara zimedoda 😭😭😭