@joeselasini , siyo vizuri kuongea saa ya kula, nimesema hana akili kwakua alichosema hakionyeshi utimamu wa akili na wewe unajua hilo ila ni lazima kujipapatua kwakua upo kwenye payroll ya Ikulu, Ujinga ni tusi kuliko kukosa akili.
By the way, wewe ni mjinga.
Huo ndio ujinga unaochomekwa ktk jamii kwa sifa ya upinzani. Unamtukana vipi Rais wa nchi ambae pengine ana umri kama wa mama yako? Unataka ukishughulikiwa wapinzani wapige kelele kukutetea? Aliyekufundisha matusi ni ishara ya kuwa mpinzani alikosea sana.
Majira haya namsogeza katika maombi Msanii nguli wa hip hop @professorjtz na mbunge wa Jimbo la mikumi 2015-2020.
Namuombea Mungu ampe heri na afya tele.
#chapa#retweet na #likes nyingi
@deckrine_kweka@AsterBrian@eastafricatv@SuluhuSamia Hiyo inaweza kua ni njia ya kumsaidia mh Raisi kujua, hasa mambo mepesi lama hayo mtu unajiuliza kwa nn hajuii, ama anajua ila ni ulevi wa madarakaaa!!!
@deckrine_kweka@eastafricatv@SuluhuSamia Ccm hawana kazi na hoja zako, siyo rais wala wasaidizi wake, wanachojua wao ni kunyamazisha uma ili wale kwa starehe.
They get what they deserve.
@Mzalendo_TZn @ProudlyCHADEMA Stop being biased, mtu ametengeneza parody kwa jina la taasisi, amelitumia kuweka maudhui ya uongo mtandaoni kwa nia ovu ya kudhalilisha taassisi husika.
Ameambiwa alichokifanya ni upunguani, wewe unaumia.
Je ni parody lako au linakunufaisha?
@bobmanara97@IAMartin_ Iwe itakavyokua Ila siyo sawa kuwa na mkuu wa nchi ambaye hakupigiwa kura na wananchi.
Last election tulimchagua Magufuli, Samia kabebwa, leo aliyebebwa ndo rais, naye kabeba aliyempenda, hatujui ya Mungu, aliyebebwa anaweza kupanda na akabeba tena. No,siyo sawa, tuchague.
@bobmanara97@IAMartin_ I said so and I stand to be corrected.
Political science siyo field ya kuringia hadi ubague makundi ya kujadiliana nayo.
Wanaosoma political science ni waliofeli calculations, wala usijisifu.
@bobmanara97@IAMartin_ Hiyo presdential system ni amri ya Mungu useme ukiibadili utaenda motoni?
Ni rule of thumb useme haipaswi kufanyiwa maboresho?
Tatizo la huu mfumo inawezekana makamo akamuombea rais kifo akijua kabisa kuwa atapanda.
Siyo lazima tuige USA kila kitu
@bobmanara97@IAMartin_ Kwanini unafanya comparison kwenye yanayokufeva tu?
Fanya comparison kwenye vyote basi, kama population, GDP, uhuru wa kukusanyika, uhuru wa kuhabarika na kuhabarisha, uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa na Mambo yote yanayohusu jamii.
Political science ni course ya vilaza.