@Jambotv_ Basi ulimwambia ujinga mtupu kijana wa watuu!! Kwa hiyo kwa sasa hawawezi kuingia madarakani kwa sababu ya katiba mbovuu! Na je kwa nn wewe unakerwa kwa wao kuingia madarakani kukiwa na katiba boraa? Kwa hiyo umeridhika kuwa kiongozi kwa sababu ya katiba mbovuu!!!
@mdudechadematz Usishushe hadhi yako kwa kuwapa creditbility wajinga kama huyoo!! Anakupangiaje cha kusema/kuandikaa? Kama umevunja sheria si kuna hatua za kuchukuaa!!!
@DukeDizzo@Heavydu80653163@AbroadTanzania Dogo mbona huelewiii? Wakipokea hiyo hela si inakua kama wamehalalisha mauaji ya aina hiyoo? Hebu fikiri, wewe uuliwe halafu ndg zako wachukue hela, itakua sawa? Na je unaridhika na utaratibu wa kuua vijana wenye ndoto zao, kisa kuna vifidia vya namna hiyoo?
@Hammy_Ole@VitusNkuna Kwa hiyo dola wanatakiwa kuchunguza vifo vinavyotokea mikononi mwaoo? Vingine ni nani anatakiwa kuchunguzaa? Labda swali lako lingejikita kwa mkuu wa gereza ambalo pia sijaelewa, lakini Rpc anahusika moja kwa moja kufanya uchunguzi.
@faida_magiyula@IAMartin_ Ha ha haaaa!!! Unataka kutuambia kwenu hakukatiki umemee? Kwenu ni zaidi ya ikulu sasaaa!! Halafu machawa hawaaaa!!! Hata hawanaga akilii!!
@fatma_karume Yaani wewe ni kimeoo!! Huwajui watz, watakuua na presha, maana unapo panic wao wanaona wewe ni katuni na wanatamani waendelee kukuona umefuraa.
@mdudechadematz @fatma_karume Siku hizi wala simuelewi huyu bibii!! Sasa hapo anapoona udini ni kitu ganii!! Mbona Bashe kaelewa na karekebishaa!! Yeye anashupaza shingoo haoni kama kulikua na kosa hapoo.
@fatma_karume Hapo Marini ndo anatakiwa kuelewa au weweee? Maana wewe uliona Martin ana udini ukashindwa kuona kama haikua sawa. Sasa msemaji kaweka sawa, unajibaraguza ninii!! Halafu wewe pia una udini wa kiwango ambacho sikutazamia kabisaa.
@fatma_karume Kwa nini asipambane kuwapunguzia wakristo waliofunga sasa hivi asubiri mfungo wa ramadhanii!! Hapo Martin na bashe nani ana udinii? Wewe mwenyewe shangazi unaonekana una udinii!! Maana hukuliona la kutojal mfungo wa kwalesma, umeliona la Martin kwenye kumkosoa waziri.
@Lumola_Steven@AbroadTanzania Mh. Rais Dokitha anajua kabisa kama wameshauza kila kitu na bado Tz ina mahitaji, kwa hiyo anajitahidi kutafuta wateja wa figo ili kupata gharama za uendeshaji wa serikalii, tumuunge mkono.
@Bingwa_mkubwa@AlisenMarcello@IAMartin_@HecheJohn@godbless_lema Wala sikushauri uharibu muda wako kwa hiyo mibumundaa!! Kwa sababu hapo wala hayaelewi hoja ya mtikila, yanang'ang'ana na upinzani kana kwamba walilipwa nje ya utaratibu, na hayajui kama wapinzani walipinga sana kikokotooo!!