@PMadeleka Ila mkuu Leo Wacha nikuambie tu ukweli , kwanini hua mnawatetea mpaka wauwaji ila mkija mtaani mnajifanya wema sana kama likifanyika jambo hazarani ndo mnajifanya kumtetea victim, kama ili ishu ya yule mjeda, pale ndo mkamtetea victim. Ila mnafiki sana wewe aisee
@Sativa255@tanpol Sasa matusi yanawapunguzia nini, tumia hata elimu Yako kama tumesoma basi . Matusi hayaui hata inzi. Fanya maandamano apo tutakuona mwamba sio umekaa kwako unatukana, uo ni ushoga tu. Mm nakushauri ingia mtaani kama kweli wewe ni chaguo la Mungu tutajua apo. Mimi nimekaa pke
@PMadeleka Tatizo ayo mambo mmeyaweka kisiasa sana ila nyinyi mshatetea sana vitu vya ovyo ni vile tu havikujulikana ila watu uno watetea wengine waovyo kabisa