The story "The Tree That Shed Tears," unfolds the life of Salome, a young girl living in poverty in Dumila, Tanzania. The narrative begins with Salome's struggles, her bond with her grandmother, and the haunting absence of her mother.
Salome's grandmother, Ms. Salome, raised her with love despite their dire circumstances and poverty .
As Salome grows, her grandmother secures a job for her as a housekeeper for a wealthy Dutch farmer named Mr. Badwell. This opportunity brings hope, but also leads her into a web of darkness.
Badwell, who is revealed to have a sinister past, treats the children cruelly, and Salome soon realizes the true nature of his character when she witnesses him abusing his sons .
The story progresses as Salome becomes trapped in Badwell's estate, where she experiences torment and isolation. Despite her suffering, she finds solace in her connection with Coen and Berend, Badwell's sons, who also endure their father's wrath. The children share a bond that transcends their pain, and together they seek comfort in a mysterious tree that they believe shares their sorrows...
If you're a fan of dramatic thrillers, don't miss this!
@Ababio006@KyaloIntel Relax Mr young man!
So, the prostate doctor was supposed to record a video of himself sticking his finger up your ass during the examination and post it on social media just to let people know his damn service, right?
Patheti fool!
unamfunga lissu mmoja, wanaibuka wengine elfu. unamteka soka, mdude, polepole, mwaipaya, wanaibuka laki. jay z, kwenye ‘sorry not sorry,’ anachana: “you killed christ, you created religion, unexpectedly.” ni kujidanganya kudhani ukatili utazima ukosoaji:
NAJARIBU KUVAA VIATU VYA LISSU
Ninaweza kwa kuanza kwa mfano wangu nilipojikuta nguvuni kwa maoni yangu tu ya mtandaoni.
Sikuwa mkosaji, sikuwa nimeambiwa kosa langu lakini nilihukumiwa kwa vipigo visivyomithilika, nikawekwa kizuizini, na nikanyimwa haki yangu ya kuwasiliana na ndugu au wakili.
Ilikuwa ni bahati yangu ya kipekee, kwa msaada wa waliopiga kelele, ikajulikana sehemu ninakoshikiliwa.
Nikiwa ndani bila mawasiliano yoyote, ndugu na jamaa zangu wakaambiwa makosa yangu mbalimbali yasiyo na kichwa wala miguu.
Kwa kuwa ndugu walitaka uhuru wangu, ni lazima walilazimika kubargain kwa njia mbalimbali ili niazimwe uhuru.
Nilipoanza kupata nafasi ya kuonana na kuwasiliana na ndugu zangu siku kumi baadae, kila nilipokuwa nikibishana na askari mbele ya ndugu zangu, ndugu zangu walikuwa wakinikanya kukaa kimya ili nisiharibu jitihada walizokuwa wakiendelea nazo kunipa uhuru.
Just imagine, ni siku zaidi ya kumi na kisheria nilipaswa kuwa nimefikishwa mahakamani ndani ya saa 24 au kuachiliwa huru. Ndugu zangu ni wasomi lakini hawakuhoji kuhusu hili.
Japo sio kwa mfanano, namgeukia Lissu
Lissu amewataja mara nyingi watu aliowataka waache kumfata gerezani usiku kumshawishi kulegeza msimamo wake ili kupata uhuru aliopokonywa.
Pia waziwazi imeelezwa ujumbe wa rais Chakwela ulifika gerezani kuonana na Lissu. Kwa kuwa ujumbe huu haukueleza hadharani nini walizungumza na Lissu, si vibaya pia tukihisi kuwa ujumbe ule ulikuwa ni sehemu ya ushawishi wa kulegeza msimamo wa Lissu.
Zaidi, Lissu ameeleza kuwa, kwa nyakati tofauti alikuwa akitolewa gerezani kwenda kuoanana na watu ambao hakuwataja. Si vibaya tena tukiamini watu hao labda walikuwa nao ni sehemu ya ushawishi kwa Lissu.
Kwa tuliopata kuingia Makwaya, tunajua ile hali ya discomfort unayoipata in a very minute unapokuwa selo kiasi cha kutaka kuwa nje mapema iwezekanavyo.
Lissu also felt the same discomfort on the very first day of his arrest and detention. This discomfort persisted for the past 577 days and it is ongoing.
Lissu angeweza kuyatumia majukwaa ya waliomfata jela kumshawishi ili apate uhuru na hivyo kukwepa discomfort. Inawezekana hata ndugu zake wa damu walishawishiwa kubargan uhuru wake nao wakamshawishi ndugu yao ili walau aweze kwenda nyumbani kwake na kulala kwenye kitanda kikubwa akipulizwa na kiyoyozi.
Lissu akakataa ushawishi wote huu huku akitaka kesi yake imalizwe kwa njia za kimahakama. Ama kesi ifutwe DDP kwa kuwa mashitaka ni ya uwongo, mahakama imuachie ikikosa ushaidi, au atiwe hatiani akikutwa na hatia.
Masharti haya yakawa mwiba kwa waliomshitaki kwani walijua aibu iliyokuwa inaenda kutokea.
Mshtakiwa akawa anabembelezwa kama mziwanda asalimu amri za kununua uhuru wake.
Lissu hakuwaza ahadi za asali na maziwa endapo angekubali kuachiwa kwa vikao vya gizani.
He just wanted it to be “from a chamber court to his homestead” and not “from a cell to a state lodge”
Hakujali kama msimamo wake utaendelea kupoteza faragha yake kwa 24/7 CCTV cameras surveillance, Bwana jela ataendelea kukiuka amri ya mahakama kwa kumnyima kuonana na watu na baadhi ya watakaoruhusiwa, hawatapewa faragha ya kuzungumza bila kusikiwa.
Lissu anachojali ni good ends that always justify the means. Good ends without a criminal record of conviction, without negotiations with the oppressor, and Yes! A good record of not mitigating unfair trial.
Huu ni moyo ambao ni watanzania wachache sana tuko nao.
Yaani niendelee kuteseka kwa muda usiojulikana, kichwa changu kikiwa rehani na huku nikikataa ushawishi uliopewa jina jipya la strategic engagement? Mmh!
Sio mimi tu ambaye ningekuwa kwenye majaribu endapo ningepitishwa kwenye moto wa tanuru lako. Hakika si mimi pekee ambaye walau nilionja kidogo joto ya jiwe, bali na wenzangu wote tunaoishia kutoa maoni na kurudi nyumbani kulala na familia zetu.
Hakika wewe Lissu ni wa kipekee na ukuta huu nautunuku kwa ajili yako.