Kula mlo wenye virutubishi vingi, vya aina mbalimbali na kula mlo wenye virutubishi sawia (balanced meal) ni vitu viwili tofauti.
Kinachowezekana kwa uhalisia na urahisi ni kula mlo wenye virutubishi vingi na vya aina mbalimbali.
#LisheBora#BabaLishe
Kula mlo wenye virutubishi vingi, vya aina mbalimbali na kula mlo wenye virutubishi sawia (balanced meal) ni vitu viwili tofauti.
Kinachowezekana kwa uhalisia na urahisi ni kula mlo wenye virutubishi vingi na vya aina mbalimbali.
#LisheBora#BabaLishe
Jitahidi uweze kuchagua vyakula vya aina mbalimbali kila siku.
Ukiweza jitahidi kutofautisha aina za vyakula kati ya mlo mmoja na mwingine. Kila siku/wiki.
Hii itakusaidia kupata virutubishi vya aina mbalimbali vinavyohitajika mwilini.
#Lishebora#BabaLishe
Mlo kamili.
Je, inawezekana kula mlo katika ukamilifu au kula mlo wenye virutubishi vingi vya aina mbalimbali?
Mayai na Lehemu (Cholesterol).
#Lishe#Chakula
Unazani mwili ukihitaji nguvu/nishati kwa ajili ya shughuli mbalimbali, unaenda tumboni au kwenye maeneo ambayo wenyewe hufanya hifadhi yake ya nguvu/nishati ambayo ni misuli, Ini na tishu za mafuta?
Au na wewe unaamini Energy drinks huongeza nguvu/nishati mwilini?
@MwananchiNews Uandaaji wa maziwa ya wanyama kwa ajili ya matumizi ya binadamu unahusisha njia mbalimbali, ikiwemo kuchemsha katika viwango mbalimbali vya joto. Je, ni kwa kiasi gani maandalizi haya yanayaacha maziwa haya kubaki na wingi wa virutubishi vinavyohitajika na kumnufaisha mtumiaji?
Na wewe unaamini maziwa ya Ng'ombe pamoja na yale ya wanyama ambao maziwa yao hutumika kama chakula yanapaswa kuchemshwa kwa muda mrefu?
Je, wewe huandaa vipi maziwa ya wanyama kwa ajili ya kunywa?
#BabaLishe
@MwananchiNews Je, ni kwa kiasi gani cha upotevu wa virutubishi hutokea katika mapishi ya kisamvu ambacho hutwangwa sana na kupikwa kwa muda mrefu? Je, maandalizi ambayo yamezoeleka ni sahihi ukizingatia ni moja kati ya mboga ya majani pendwa nchini?