Mithali 24:3
Nyumba hujengwa kwa #hekima, Na kwa #ufahamu huthibitika, 4Na kwa #Maarifa vyumba vyake hujazwa Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza 5. Mtu mwenye hekima ana #nguvu; Naam mtu wa maarifa huongeza #uwezo ๐๐๐๐๐
Yoshua Bin Sira 6:11
Wakati wa #kufanikiwa kwako atakuwa sawa nawe, na kupiga domo juu ya watumishi wako; 12 lakini ukipatwa na #maswaibu atakugeuka na #kujificha mbali #nawe na uso wako๐๐
@kigogo2014 Shida iliyopo apa chama flani kikigomea tiar wameshaandaa chama kingine so unaweza kuhoma alafu wao wakaendelea na utaratibu wao kama kawaida changamoto ikawa kubwa zaidi ukakosa vyote @kigogo2014