Hey everyone! π Allow me to introduce you to Errandiaga, the revolutionary food and home app that will change the way you manage your daily tasks and enhance your overall lifestyle experience. ππ
@FarisHammadi As sufyan thaury said someone is one of those he surrounds himself with you're one of them and that makes it very difficult for people to know your true intentions or you're just one of the people in his Zionist team
@FarisHammadi This is why we don't take anything you say seriously you should have stayed far away from a tyrant as a student of knowledge but you're here not just supporting but also praising him someone who killed and is killing millions of Muslims and is actively collaborating with jews
@umarmatovs@Calm_Baddie@_sharif7 From suratul Mariam when Mariam came with a child issah her people told her no your father or your mother were aldulters why did you do this ? This show's one's offspring can pay for the sins of their parents
Mhe. Jenista Mhagama; Iβve got too much love and respect for this big siste. Nilipokuaga Mbunge kijana machachari huyu dada alikuwa Katibu wa Wabunge wote wa CCM, kwa Kipindi hicho kanuni zilikuwa zinampa mamlaka ya kuwa βmnadhimuβ (chief whip) wa Wabunge wote wa CCM. Ilikuwa nafasi nyeti na nzito sana hapa Bungeni. Ni mdada mwenye roho nzuri sana, nyeupe isiyo na chembe ya chuki wala kinyongo.
Kipindi hicho Wabunge wa CCM tulikuwa wakorofi sana na tuliwasumbua sana serikali, kiukweli tulienjoy mamlaka ya kuwa Wabunge!
Dada huyu, Mhe. Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, kwa nafasi yake alikuwa busy kutudhibiti tusiwasurubu serikali bungeni. Basi akiona jina langu tu kwenye list ya wachangiaji anakuja kutaka kujua ntachangia nini na kushauri tuwe fair kwa serikali yetu! The way she was humble, basi atakuomba mpaka anataka kupiga magoti. Kwa mamlaka yake angeweza kukuita maadili ama kukupa vitisho, lakini yeye alijenga urafiki kwa ku-negotiate na kushauri zaidi.
Nimekutana na kufanya kazi na watu wengi na nimewaona wachache sana walio fair na understanding kama huyu dada. Kuna wengine walituita maadili kwa vitu vidogo sana mpaka unashangaa! Siyo Jenista. Huyu alitujenga kwenye mitazamo na misimamo yetu ya kisiasa, alitusogeza kirafiki akatujua na baadaye akatutumia kuisaidia serikali na chama chetu bungeni.
TAKE HOME: Ukipata madaraka makubwa sana juu ya wenzako, wajenge, waelewe, usiwasababishie ajali! Watu watakukumbuka kwa namna ulivyowafanya kujisikia.
Mimi wa enzi hizi za Jenista sikuwa na chembe ya uoga wala understanding, nilikuwa na energy kubwa sana ya kufanya siasa, misimamo mikali na ambitions kubwa mno; Hakuna ambaye angeweza kunitishia kwa lolote lile, maana nilikuwa tayari tayari. Busara za Jenista na upendo wake contained my energy and transformed the younger me.
Nakumbuka siku moja nilikuwa napiga Waziri Ngeleja wamama Mhe. Jenista, Mhe. Mariam Kisanji na wengine wakaja kwa kuinama kwa chini chini na kuniomba basi inatosha baba! Inatosha baba! π Nikaamua kukatisha hotuba yangu nikakaa. #HK #Fighter #NjeYaBox #SiasaNiVitendo
I think it's fair to say Borrusia Dotmund manager outclass Erik ten hag and Arteta this season champions league campaign, someone didn't qualify for the last 16 and other one didn't qualify for semi final,the point is Dotmund didn't spend much as United and Arsenal did levels π!