Nimeamua kuanzia kesho ligi zikirejea timu zote kubwa zipate goli 1 tu, Tunahitaji tu Tsh 4000 tupate hii Milioni Nimeandaa mkeka huu tangu wiki iliyopita na uchambuzi tumefanya zaidi ya watu 5 tumeuandalia mtoni na tukafanya ibada pale hope utatoboa Repost kama unataka code 🤝
Kuna stage lazima Upite kwenye ujana..
1. Kuvusha manzi kwenye geto la mwanao.
2. Kumuelewa demu mpaka kuogopa kumtokea.
3. Kuazima nguo kwaajili ya mtoko flani.
4. Kuumizwa na mapenzi.
5. Kukataliwa.
Nyingine ipi? 😆