Utapiamlo haujaisha Iringa pamoja na Iringa kuwa mmoja wa mikoa inayolisha nchi! Ina aina zote za vyakula! Still ni mkoa wa 2 kwa HIV prevalence! Bado Ukatili dhidi ya wanawake na watoto na udhalilishaji wa watoto kingono ni tatizo kubwa Iringa! Stick to those young man!🤔
Sasa mnaelewa kwanini nawapenda Waingereza? Wamefanya FUJO dunia nzima lakini kwao kuna RULE OF LAW! Polisi hawezi kuingia kwako bila ya WARRANT na wananchi wanajuwa HAKI zao na hawataki UPUUZI!
#HABARI Chama cha @ChademaTz kimemjibu Spika Ndugai na kusema kuwa kama anahisi Wabunge wa chama hicho hawajajiweka Karantini na wanazurura, basi aseme wako wapi na kuongeza kuwa yeye ndiye Spika wa kwanza kulipa mishahara kwa Mbunge hewa Cecil Mwambe ambaye alishajiuzulu.
Gazeti Mwananchi Nov 5 2012
Waziri wa Ujenzi Dr.John Magufuli amemtaka kikwete kuongeza safari
"Wapo wanaosema wewe Rais unatembea sana nje ya nchi lakini bila kutembea kwako tusingepata maendeleo tunayopata, tunakuomba uendelee kutembea ili kupata maendeleo zaidi"Dk Magufuli.
Wabunge wa Chadema pia Wamemtaka Mh Mariam Msabaha Ajiuzuru nafasi yake ya ujumbe wa Kamati Kuu kwa kushindwa kufuata makubaliano ya wabunge na Maelekezo ya Chama, Mariamu Msabaha alipata nafasi hiyo kwa kuchaguliwa na Wabunge . Mimi kama Mnadhimu Naunga mkono. @esteramosbulaya
Wabunge wa Chadema wamemtaka David Silinde ajiuzulu Nafasi zake zote za Uongozi kwa kushindwa kusimamia makubaliano ya wabunge na Maelekezo ya Chama . Kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Naunga Mkono anapaswa kujiuzulu. @esteramosbulaya

"Janga hili linahitaji dunia kupambana pamoja kwa kushauriana na kusaidiana. Watawala wasiotambua hili ni janga kubwa kwa watu wao sasa na siku za usoni, hakika wanajitayarishia na wanastahili anguko kubwa la kisiasa." Mhe. @freemanmbowetz

#Mubashara - Mwenyekiti wa @Chadematz (T), Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani @Bunge_tz na Mbunge wa Hai, Mhe @freemanmbowetz anazungumza na Taifa muda huu, Jumatano 29 Aprili 2020. https://t.co/dbq7VlUiq4
#CORONAVIRUS TANZANIA: KKKT DAYOSISI YA KARAGWE YASITISHA IBADA
> Askofu Benson Bagonza ametangaza kufunga Ibada na mikusanyiko kuanzia Aprili 26, 2020 na kuwaasa Viongozi wengine wa Dini kusitisha Ibada badala ya kusubiri Serikali iseme
Soma https://t.co/Cw6Pqdu7ul
#JFCOVID19
Hii nchi ilipewa watu wapuuzi sana! Yaani pamoja na watu kufa left right 👇
• Meko yuko 👉 CHATO
•Majaliwa yuko 👉LINDI
•Samia 👉 atakuwa kwao KIZIMKAZI - Mchangamle
Halafu kuna jitu linajitapa mimi JIWE KWERIKWERIII.. Wewe muoga na boya tu yaani