@millardayo Nilitamani jeshi la police liseme hapana mwili usizikwe kitafutwe kichwa usiku na mchana kwa mwezi wote huu kuupa thamani mwili wankijana mwenzetu
@mshambuliaji Alafu bro timu imepambania taifa tumeonewa alafu we unatumia maneno makali ya kiwaki kifala kama ayo kwa nini usiseme '' taifa limeibiwa haki '' sisi hatujatupwa tumeibiwa haki unazingua aisee
@swahilitimes So kakosa plan anaboresha mgao yani anabariki mgao wa maji ayo mambo ya miaka ya 90 uko watoto wa 2000 wanashangaa mgao wa maji ni mambo ya ajabu sana kazoea kiti apishe tu kama hakuna mawazo mapya